BAADA ya CCM kukuta mianya yote ya kuiba fedha za wanachi imezibwa sasa yaamua kuchap

akili

Member
May 5, 2008
68
0
Baada ya serikali ya Chama cha Mafisadi (CCM) kujikuta imegonga mwamba katikakununua mitambo ya Dowans au kuchapisha vitambulisho vya taifa kwa gharama kubwa iliipate hela ya kugombea uchaguzi wa mwaka 2010 sasa imeamua kuiagiza benki kuukuchapisha noti mpya kwa kiasi kikubwa ambacho kitawezesha chama hicho kuwa namabilioni ya kumwaga katika kampeni zake ikiwa ni pamoja na kugawa kanga, vitenge,fulana na kuwapa waswahili pilao za bure ili wapate kura za wananchi kwa hila.Mabilioni haya pia yatatumika kuwanunua watu muhimu katika uchaguzi ujao na kuundavikundi vya wanawake na vijana maalum kwa ajili ya kuwazaini wananchi wasiojua hiliau lile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom