Search results

  1. Mkwaha

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Kama hana homa yeyote ile inayopelekea kuwa hivyo, basi usiumize kichwa ni hatua za kawaida za ukuaji wa mtoto. Nb: Kama sikosei ni mtoto wako wa Kwanza au sio!!.
  2. Mkwaha

    Nini hiki kinaendelea kwa watoto na watu wazima?

    Ipo siku corona itanena kwa lugha, nyinyi endeleeni kujifanya vibuli.
  3. Mkwaha

    Mini washing Machine (Brand new)

    nimekuelewa sana mkuu ila kwa maisha yetu ya kibongo Ni ngumu sana hiyo mashine uilete home halafu wapangaji wenzako wachukulie poah, vitu kama hivi ukiwa upo kwako au umepanga nyumba mzima ndio inapendeza sana.
  4. Mkwaha

    Mini washing Machine (Brand new)

    juu ya matumizi ya umeme, wapangaji wengine wataona kama unawanyonya kitu kinachopelekea mgogoro
  5. Mkwaha

    Mini washing Machine (Brand new)

    Changamoto Ni sisi tunaoishi nyumba za kupanga.
  6. Mkwaha

    Usimwamini mtu anaenyoa kipara au anayekunja mikono ya mashati

    Sina kipara ila napenda kukunja mikono ya shati.
  7. Mkwaha

    Usimwamini mtu anaenyoa kipara au anayekunja mikono ya mashati

    Vipi umemaliza au Bado unaendelea?
  8. Mkwaha

    Hayati Magufuli bado anawanyima usingizi wapinzani wa Tanzania

    Huyo magufuli wako kaifanyia nini Africa hadi awe Bora kuliko nyerere?.
  9. Mkwaha

    Wanaume na sisi tunabakwa, moyo unauma sana

    Ila kumbuka huyo ni mke wa mtu.
  10. Mkwaha

    Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

    Ok, Kwavile ni jinga lao basi haina shida.
  11. Mkwaha

    Wakala kaniwezesha kukwepa tozo haramu za miamala

    Ujue kuna badhi ya watu hawajui wakala analipwaje ndio maana wanaongea ongea tu juu ya hili.
  12. Mkwaha

    Wakala kaniwezesha kukwepa tozo haramu za miamala

    Hiyo njia wakala anaejielewa hawezi kukubali kwasababu malipo ya wakala ya mwezi yanategemea na miamala aliyoifanya. Inamaana kila wakala anapofanya muamala yale makato anayokatwa mteja basi wakala anapata % yake. Hivyo kama wakala asipofanya miamala ndani ya mwezi mzima ni sawa na kujikomoa...
  13. Mkwaha

    Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

    Wewe kama nani hadi uwasemee watanzania wote?. Hata kipindi cha ukoloni kuna wapuuzi kama wewe ambao walikua wakiitikia kila kitu ambacho mkoloni alikua anakileta bila kutofautisha faida na hasara ya jambo husika. Eti watanzania hawana tatizo na makato kwani wewe ndie muwakilishi wao?. Kama...
  14. Mkwaha

    Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

    Lione hili nalo lilivyo lijinga, hapa chadema imekujaje?.
  15. Mkwaha

    Rais Samia Kuzuru nchini Burundi 16 Julai, 2021

    Amenivuruga acha tu aende hata sina mpango nae.
  16. Mkwaha

    Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

    Kwahyo ni kweli Ile kitu sio SCANIA bali ni TATA?.
  17. Mkwaha

    Umuhimu wa Wabunge wa Upinzani Bungeni

    Kipindi cha uchaguzi ccm wana kauli yako "Wapinzani Wataisoma namba mwaka huu" hivyo baada ya kodi hii mpya, ndio maana nikasema makato haya yanawahusu wapinzani sio ccm nikiwa nawakumbusha wana ccm juu ya kauli yao.
  18. Mkwaha

    Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

    Serikali sijui wapoje yani wanatengeneza pesa wanaziweka kwenye mzunguko halafu badae wanageuka wanatukamua wananchi kuzitaka pesa zile zile walizozitoa wenyewe. Sasa mimi nasema hivi kama serikali inaona sisi wananchi tunafaidi kuwa na hizo pesa basi safari nyingine wakitengeneza hizo pesa zao...
  19. Mkwaha

    Je, Serikali imeamua kugawana 50/50 tozo za simu na Wamiliki wa mitandao?

    Mbona yeye aliongeza kodi kwenye vifurushi vya kupiga simu na bundle au unadhani tumesahau pimbi wewe.
  20. Mkwaha

    Je, Serikali imeamua kugawana 50/50 tozo za simu na Wamiliki wa mitandao?

    Bunge likikataa kupitisha bajeti ya serikali, RAIS Anayo haki ya kulivunja bunge. Ndio maana watu wanadai katiba mpya ili kuondoa au kupunguza hizi sheria zinazompa mamlaka makubwa Rais. .
Back
Top Bottom