Usimwamini mtu anaenyoa kipara au anayekunja mikono ya mashati

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
11,160
29,186
Hili kundi sio la kuamini kabisa

Ukiona mtu hadi anafikia hatua anatoa nywele zote kichwani yaani yeye mwenyewe haziamini hata nywele zake ujue hapaswi kuaminiwa hua ni waongowaongo sana.

Na ukiona mtu anavaa shati mikono mirefu na anakunja kama Obama vile hawa watu kimbia kabisa mbali hawafai kuaminiwa yaani wanaujanja ujanja sana halafu vitu vizito kwao havina maana wanapenda vitu vyepesivyepesi tu.

Ukithubutu kumwamini mtu anayenyoa upara hadi hapo jiandae kupotea na kama unatarajia akuelejeze njia basi jua utaachwa njiani na yeye ataondoka zake ubaki peke yako maana hawaonagi shida hawa kukuacha peke yako.

Mtu haamini wala kuthamini nywele zake utategemea wewe ndio akuthamini kwa kipi labda hivi huwezi kujiuliza tu hadi hapo.
 
Wengi wao ni masharubati
 
Wewe jamaa utakuwa una chuki tu binafsi na sisi tunaokunja mashati yetu yenye mikono mirefu, na pia wale jamaa zangu wenye vipara!

Ila kusema ule ukweli, ulicho kiandika hapo juu hakina uhalisia hata kidogo.
 
Hakuna anayependa kunyoa upara Boss,

Kwa uchunguzi wangu watu hunyoa upara Kwa sababu kuu zifuatazo;

1. Kuanza Kwa Mvi, yaani nywele kuanza Kuota Mvi.
Wengi hunyoa vipara hasa wanaoogopa au wasiopenda kuweka kokoto(kupaka Piko)

2. Wanaoota Upaa.

Sababu zingine ambazo sio maarufu ni Kama sababu za ibada Kwa waumini wa dini za Satanism,
Kufanyiwa uperesheni ya kichwa, kuwa na mapunye n.k.

Kuhusu kukunja mikono sina lakusema.

Hata hivyo najua andiko lako limekusudia kumnyea kiongozi Fulani.
Ila Mimi nimeandika kusudi lisiwaponze wanyoa vipara wengine ambao wengi wapo na umri kuanzia miaka 40 -100
 
Back
Top Bottom