Umuhimu wa Wabunge wa Upinzani Bungeni

Wapinzani yenyewe wamepoteza dira

Kuna ishu nyingi sana za kupigia kelele na wananchi wakawaelewa ila wenyewe wanaona ishu ni katiba tu
 
Wapinzani yenyewe wamepoteza dira

Kuna ishu nyingi sana za kupigia kelele na wananchi wakawaelewa ila wenyewe wanaona ishu ni katiba tu
Kila kitu na wakati wake. Sasa ulitaka waongelee hizi tozo wakati hazikuwa zimeshapitishwa? Hoja yangu ni kuwa wangekuwepo bungeni wangaikataa hii miswada/mapendekezo batili na kandamizi.
 
Ni mambo mangapi ya ovyo yamepitishwa bungeni huku hao wabunge wa upinzani wakiwemo?

Kelele za wapinzani pekee bila kuwa na akidi hazina tofauti na zile za vyura,hazizuii chochote.

FYI: Hakuna Bill yoyote imewahi kukwama bungeni kisa uwepo wa opposition nchi hii toka bunge la kwanza la vyama vingi.
 
Pamoja na kuwa yanapitishwa wakiwepo lakini wao ndio watch dogs wetu sisi makapuku. Wao ndio wanapiga kelele na bills zenye kukandamiza kama hizi eithee zingerekebishwa kabla zipitishwa au zingefutiliwa mbali.
 
Back
Top Bottom