Mini washing Machine (Brand new)

Spliffcharm

Senior Member
Jun 21, 2020
124
345
Tunauza Mashine ndogo za kufulia mpya kabisa kutoka china. Zinafua, Kusuuza na Kukausha.
Brand Ni JF, Ni Imara sana na ikikusumbua ndani ya miezi mitatu tutakabadilishia mashine mpya kabisa. Tunapatikana Mtoni Kijichi/Mbagala Kuu Dar es salaam.
Bei : 160,000Tshs tu.
Contacts : 0676169893/0673958899.
Instagram : @ajay_business_centre
IMG-20201231-WA0003.jpg
IMG-20201231-WA0004.jpg
IMG-20201231-WA0006.jpg
 
Mbona kadogo hivyo, ingawaje nimekapenda! Kana uwezo wa kufua nguo za aina gani?! Kitu cha jeans na mashuka vinaweza kutoka clean kweli?! Au ni kwa ajili ya boxers na sidiria tu?! Maswali ya ziada, hata kama inawezekana huna uzoefu nazo, je lifetime yake inaweza kuwa muda gani? Mnafanya delivery?
 
Inauwezo wa kufua nguo ambazo zmechanganyika na maji zenye uzito wa kilo nne na nusu ..! In addition, inafua kila kitu kasoro Maduveti na mablanket. So far tunaziuza mwaka sasa hatujawahi pata negative comment hata moja. Ufuaji wake hata ukiweka nguo tano na zaidi inachagua 1 inafua then ikimaliza inachukua nyingine in that manner and Yes boss tunafanya delivery mpaka mikoani, charges znategemea na umbali. Kwa maelezo zaidi na videos nicheck whatsapp 0682931592.
 
Pata mashine ndogo za kufulia, zinatumia umeme mdogo sana na kufua kwa ufasaha. Kuna za kilo 5 unazoweza kufua mpaka nguo 5 na kilo 7 ambazo unafua mpaka nguo 10 na zaidi. Tunapatikana Kigamboni na Kijichi lakini pia delivery tunafanya.

Mashine za kilo 5 ni 170,000Tshs
Mashine za kilo 7 ni 370,000Tshs

Mawasiliano ni 0673958899 Call & Whatsapp.
IMG-20211117-WA0007.jpg
IMG-20211113-WA0007.jpg
IMG-20211110-WA0009.jpg
IMG-20211110-WA0008.jpg

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Huwa nashangaa mtu anajipinda na kufua kwa mikono wakati hiyo mashine inaokoa muda sana
Kaka hizi mashine ni lifesaver. Tena sisi wengine wenye familia za watoto wadogo. Wanawake wanateseka sana the least we can do ni kuwasaidia na vitu kama hivi ndugu yangu. Vinafua vzuri mno na unaweza kufua hata mara kumi kwa siku na umeme wake ni mdogo sana unatumia.
 
Kaka hizi mashine ni lifesaver. Tena sisi wengine wenye familia za watoto wadogo. Wanawake wanateseka sana the least we can do ni kuwasaidia na vitu kama hivi ndugu yangu. Vinafua vzuri mno na unaweza kufua hata mara kumi kwa siku na umeme wake ni mdogo sana unatumia.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Watts ngapi hiyo ya kg 5
 
juu ya matumizi ya umeme, wapangaji wengine wataona unawanyonya kitu kinachopelekea mgogoro
Inatumia Watt ndogo sana ...!! 110 tu.
Imezidi taa kidogo sana.
Uzuri wa hizi mashine zmetarget watu wa hali ya kawaida. Umeme mdogo sana, portable. Unakabeba unapeleka nje unafungulia maji machafu yanatoka unaweka mengine masafi. Halafu kinafua kusuuza na kukausha. Very durable pia. Mimi chakwangu mwaka wa pili sasa natumia kizima kabisa.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Inatumia Watt ndogo sana ...!! 110 tu.
Imezidi taa kidogo sana.
Uzuri wa hizi mashine zmetarget watu wa hali ya kawaida. Umeme mdogo sana, portable. Unakabeba unapeleka nje unafungulia maji machafu yanatoka unaweka mengine masafi. Halafu kinafua kusuuza na kukausha. Very durable pia. Mimi chakwangu mwaka wa pili sasa natumia kizima kabisa.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
nimekuelewa sana mkuu ila kwa maisha yetu ya kibongo Ni ngumu sana hiyo mashine uilete home halafu wapangaji wenzako wachukulie poah, vitu kama hivi ukiwa upo kwako au umepanga nyumba mzima ndio inapendeza sana.
 
Pata mashine ndogo za kufulia, zinatumia umeme mdogo sana na kufua kwa ufasaha. Kuna za kilo 5 unazoweza kufua mpaka nguo 5 na kilo 7 ambazo unafua mpaka nguo 10 na zaidi. Tunapatikana Kigamboni na Kijichi lakini pia delivery tunafanya.

Mashine za kilo 5 ni 170,000Tshs
Mashine za kilo 7 ni 370,000Tshs

Mawasiliano ni 0673958899 Call & Whatsapp. View attachment 2024884View attachment 2024885View attachment 2024886View attachment 2024887

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Warranty mda gan?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom