Wana jf mwenye uelewa kuhusu ELECTIVE COURSE uwapo chuoni naomba msaada katik yafuatayo
----------faidayake baada ya kumliza chuo
---------hasarazake kama hutolichukua
kwangu hili naona nikidot kwani seelewi lolote kuhusu elective coarse!​
Mwalimu mkuu wa shule ya secondary inayo itwa seek Mkoani shinyanga wilayani kahama ashutumiwa kuwa beba kinyamera wanafunzi wa patao 100 tangu wakiwa 4m1 mpaka 4m4 bila ya kuwa na usajili
unao tambaulikana na serikali matokeo yake leo hiii wanafunzi hao wame zuiliwa kufanya mtihani huo wakidato...
Ndio kwa mara ya kwanza naenda kuanza masomo ya chuo, ukweli kwanza nahitaji msaada mkubwa kutoka kwa yeyote ambaye ana uzoefu na maisha ya chuo ili niweze kutimiza malengo yangu nilio jiwekea. sijui chochote ku husu chuo naomba msaada wa
----nini ni fanye iliniweze kuishi na wana chuo wenzangu...
1.Uchavushaji-Pollinatination
2.Mnururisho-Radiation
3.Yabisi-Solid state of matter
4.Mwendo dhahili-Velocity
5.Kan-Force
6.Wenzo-REVEL
Ebana ee kazi kwelikweli tumetoka mbali!!!!!!!!!!
Mimi ni shabiki wafilum hasa za kutoka majuu lakini nimekuwa nikutana na filum zinazo zungumzia maisha ya viumbe vinavyo julikana kama vampire! miongoni mwa filum hizo nikama The blades(1,2,3 & 4),Underworld(1,2 & 3),Interview with vampire,Being human(season 1 & 2),Twilight,Twilight(New moon)...
Hahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! unanikumbusha mbali saaaaaana!!
INVISIBLE is equal to beyond nature!! or Humankind as follows:- LIQUID METAL TERMINATOR
X-MEN...
Wana jamnvi!!, usalama wetu kwanza tuwapo barabarani!!!,road traffic act no 19(1) revised edition 2002 ina prohibit ku drive chombo cha moto kama huna driving licence.tujifunze sheria wenyewe ili tupunguze ajali barabarani
nb ucilaumu ulipo angukia laumu ulipo...
HI,TO ALL WANAJAMII ,CALL ME EMMANOS OF KAHAMA MAY I STEP INTO DA FORUM.I ADMIT I WAS TOO LATE TO JOIN B'CAUSE NO SOONER THE TIME I GOT HOLD OF THE JAMII THAN I FOUND WHAT MOST I WANTED BEFORE.IT IS MY EXPECTATIONS TO LEARN ABOUT MORE THINGS WHAT ONLY I WANT IS YOU MEMBERS OF THE FORUM TO LET...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.