Mwalimu mkuu atia doa papper la 4m4

EMMANOS

Member
Sep 20, 2012
14
2
Mwalimu mkuu wa shule ya secondary inayo itwa seek Mkoani shinyanga wilayani kahama ashutumiwa kuwa beba kinyamera wanafunzi wa patao 100 tangu wakiwa 4m1 mpaka 4m4 bila ya kuwa na usajili
unao tambaulikana na serikali matokeo yake leo hiii wanafunzi hao wame zuiliwa kufanya mtihani huo wakidato cha nne!!!!!!!!!!!!.
Swli je ninani wakulaumiwa? mwalimu au serikali?ina maana ada zao za miaka yote hiyo zilikuwa zina kwenda wapi? kama kweli walikuwa wame sajiliwa kinyamela? na je shule za secondali huwa hazina wakaguzi? mpaka leo hii hao wakagzi ndio wali gundue? yangu ni hayo wana jf ndio yanayo niumiza kichwa.!!!?
 
ni rushwa iyo, tz kama haikupangwa mikakat mizur ya kuzuia rushwa vtendo kama ivo vtaendelea tu.
 
Mwalimu mkuu wa shule ya secondary inayo itwa seek Mkoani shinyanga wilayani kahama ashutumiwa kuwa beba kinyamera wanafunzi wa patao 100 tangu wakiwa 4m1 mpaka 4m4 bila ya kuwa na usajili
unao tambaulikana na serikali matokeo yake leo hiii wanafunzi hao wame zuiliwa kufanya mtihani huo wakidato cha nne!!!!!!!!!!!!.
Swli je ninani wakulaumiwa? mwalimu au serikali?ina maana ada zao za miaka yote hiyo zilikuwa zina kwenda wapi? kama kweli walikuwa wame sajiliwa kinyamela? na je shule za secondali huwa hazina wakaguzi? mpaka leo hii hao wakagzi ndio wali gundue? yangu ni hayo wana jf ndio yanayo niumiza kichwa.!!!?

Kwa uandishi huu? Tuna kazi kubwa sana.
 
Back
Top Bottom