Waheshimiwa wabunge wa Bunge la JMT na hata wawakilishi wa katika baraza huko Zanzibar. Salamu.
Napenda kwanza kuwakumbusha kwamba sisi wapigakura wenu tulipowachagua hatukuwapa ufalme bali tuliwadhamini tu. Cheo ni dhamana ati.
Tuliwapa muda wa miaka mitano kututumikia. Kama mlifanya vema...
Wakuu,
Habari za uhakika ni kuwa leo katika mkutano wa waandishi wa habari, NCCR kimekuwa chama cha tatu kumtaja mgombea wake mtarajiwa.
Yaelekea ukawa utapambanisha wasomi.
CUF wanakuja na Profesa
NCCR wanakuja na Dokta
NLD nao wamemtaja Dokta
CHADEMA bado kimya, lakini yaelekea watamtaja...
Wakuu,
Katika dhifa ya kitaifa aliyondaliwa Rais wa Ujerumani, Jk kwanini hakuhutubia kwa Kiswahili chetu, ilihali mgeni wake kahutubia kikwao? Wapi kuthamini vya kwetu jama!
Wakuu,
kwa muda mrefu yamekuwepo malalamiko kuwa wakenya/makampuni na/au taasisi za Kenya wamekuwa wakiilaghai dunia kwamba Mlima Kilimanjaro na mbuga ya Serengeti viko nchini kwao.
kwa ulaghai huo si tu kwamba wametenda kosa la jinai kwa kusema uongo, bali wanajipatia mapato haramu yanayotokana...
Wakuu,
Napendekeza tutoe sauti ya umma hapa JF kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Tupige kura kwa kuandika hapa.
Kwa wanaoutaka, andika: UENDELEE
Kwa wasioutaka, andika: USIENDELEE
Si mbaya ukitupia maelezo ya chaguo lako.
Nawasilisha.
Wakuu,
Chama cha NCCR-Mageuzi kimeanza mchakato wa kufanya uchaguzi mkuu wa ndani ya chama, wa kila baada ya miaka mitano. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Mara ya mwisho uchaguzi kama huo ulifanyika Januari 2009.
Tayari wanachama mbalimbali wameanza kujitokeza...
Wakuu,
Katika kutafakari kile kinachoendelea sasa katika Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa, na kujaribu kuelewa tumefikafikaje katika enzi ya kuwa na Bunge linaloyumba, lenye 'mipasho' na matumizi ya lugha isiyozingatia staha wala tafsida, pengine ni vyema tukakumbushana...
Naam wakuu,
Mjadala kuhusu elimu na mustakabali wa Taifa unaendelea sasa hivi katika ukumbi wa Nkrumah. Vile vile uko live ITV na radio one. Tufuatulie
Movie ya Kwanza ya Kinaijeria niliyoiona miaka ya 90, ilikuwa ya wake wenza. Mke mdogo aliolewa kwa kumroga mume. Kisha akaiba fedha za mume na kuzitumbukiza katika begi la mke mkubwa, maskini mke mkubwa alifukuzwa na mume baada ya fedha kugundulika ziko kwenye begi lake.
Vile vile katika...
Ahsanteni sana marafiki kwa kukitakia chama siku ya kuzaliwa yenye furaha. Tarehe kama ya leo, mwaka 1992 ndipo NCCR-Mageuzi kilipopata usajili wa kuwa chama cha siasa. Wazo (mimba) la kuundwa kwake lilikuja miezi saba kabla ya hapo, yaani mkutano wa wanamageuzi nchini uliofanyika 12 Juni 1991...
Wakuu,
Habari zilizotoka hivi punde ni kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Dr. Paul Mushi amepigwa chini kufuatia kashfa ya mitaala. Sasa nafasi ya Mkurungenzi inakaimiwa na Dr. Akwilapo.
Inaonekana Dr. Kwambwa baada ya kibano Dodoma, aliamua kama wasemavyo HakiElimu kutafakari na...
OOH MTWARA, JIWE WALILOLIKATAA WAASHI…!
Mwishoni mwa mwaka 2012, baadhi ya wananchi wa mkoa wa Mtwara walifanya maandamano ya amani na yaliyofuata utaratibu wa sheria zilizopo, kwa lengo la kufikisha ujumbe waliokuwanao kwa viongozi. Maandamano hayo yaliitimishwa kwa mkutano wa hadhara...
(Deogratius Kisandu wakati ikipokea Kadi ya NCCR-Mageuzi. Kulia kwake ni Kaimu Katibu Mkuu Ndugu Faustin Sungura)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: SHUKRANI KWA KUTEULIWA
Kwanza natoa shukurani zangu za dhati, kwa Katibu Mkuu wa Kitengo cha Vijana wa NCCR-Mageuzi Ndugu Ojung Seitabau...
Friday, 4 January 2013KATIBU BAVICHA AJIUNGA NA NCCR-MAGEUZI
Ndugu Deogratius Kisandu aliyeshika Kadi, Kulia kwake ni Ndg. Florian Rutayuga ( Afisa Utawala wa Chama) na Katikati ni Ndugu Faustin Sungura (Kaimu Katibu Mkuu)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UAMUZI WANGU WA KUJIUNGA NA...
Sababu za ardhi kuwa ghali sana nchini, hususan jijini Dar ziko nyingi. Mojawapo ni hii ya wageni kumiliki ardhi kinyemela.
Je, tunao wajibu wa kulisaidia jeshi la Polisi ili wageni wote waliochukua ardhi yetu waondolewe?
Operesheni ya wavamizi ardhi Dar yabaini raia 10 wa kigeni
Na Raphael...
Nyasa Times
August 6, 2012
U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton on Sunday visited Malawi to meet with the country's first woman President Mrs Joyce Banda.
Clinton – the first U.S. secretary of state to visit Malawi -pledged continued U.S. support for development and health...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.