Recent content by web engineer

  1. W

    Samsung galaxy tablet 2.10.1 inatafutwa!

    salaam wana jamii natafuta kama kuna mtu ana samsung galaxy 2.10.1,nilikuwa natafuta hata second hand.hushauri pia unaitajika. asanteni sana
  2. W

    Msahada wa mayob accounting package version 13 paka 20!!!

    salaam wana jamii tafadhali naomba msaada wenu wanajamii kama kuna mdau anawezakuwa na software ya Myob accounting package kuanzia version 13 paka 20.nimetafuta kwenye internet lakini sipati na crack au serials nashukuru sana kwa msaada asante
  3. W

    Form two chemistry and physics syllabus-msaada tafadhali!!

    Salaam wana Jamii. naomba msaada wenu,natafuta syllabus ya chemistry na Physics form two.nimempeleka mtoto wangu Canada natakiwa kupeleka syllabus za haya masomo next week ili waweze kujuwa darasa gani linamfaa kwa system ya huko.kwa sasa nipo pia canada. tafadhali naomba msaada wenu jamani...
  4. W

    Hp pavilion dv6 problem

    salaam,nimepata shida na laptop yangu ya Hp pavilion dv6,nikiwasha kuna taa mbili ya Num lock na Caps lock ndio zinawaka lakini screen haiwaki inakuwa nyeusi tu.hizi caps lock na Num lock zina blink continously bila laptop kuwaka au ku display. msahada tafadhali
  5. W

    Cpa past papers

    Salaam wana jamii,naomba kama kuna mtu anajuwa link ya ku download past papers za NBAA tanzania au sehemu yeyote ya kupata hizi past papers module E asanteni
  6. W

    Viwango vya mshahara-msahada wa haraka!

    salaam, naomba kujuwa kwa aliye na documents ambayo inaonesha mshahara wa mtu kutokana na elimu aliyo kuwa nayo hapa Tanzania.nataka kumwajiri mtu sasa nilikuwa nataka kujuwa nimwanziye wapi kutokana na elimu aliyo kuwa nayo. asanteni sana kwa msahada
  7. W

    Cpa syllabus!!

    Shark,tafadhali una syllabus ambayo itatumika mwakani? au kama kuna vitu unajuwa vitabadilika naomba unisaidie,natarajia kufanya module E
  8. W

    Cpa syllabus!!

    Hello wana Jamii, please anyone with the NBAA syllabus(recently one),please advise on this.....
  9. W

    Msaada mgambo jkt

    samahani wakuu,nime post sehemu ambayo siyo kutokana section ya sport papo tupu naomba msaada wa haraka wa logo ya mgambo jkt footbal club asante na samahani
  10. W

    Buy cheap timbers

    salaam, nauza mbao aina zote kwa bei nafuu.nipo iringa naomba tuwasiliane
  11. W

    Timbers dealer from iringa!

    the Boss, unatafuta treated poles? mbao ambazo tunazo sasa kwa store ni size ya 2x6,1x8 ,2x4
  12. W

    Buy cheap timbers in a bulk size!

    Hi, we deal in production and processing of timbers in a variety of size here Iringa-Tanzania.currently we are looking potential buyers,our price is distinguishable from other sellers.currently we have a bulk stock of timbers. please inbox me for more information.
  13. W

    Timbers dealer from iringa!

    salaam wana jamii, mimi ni mpasuaji mbao hapa iringa,natafuta wateja wa kununuwa mbao size zote. bei zangu ni nzuri. tafadhali tuwasiliane hapa 0653 346 289 asante sana
  14. W

    subsistence allowance kazini

    salaam wana jamii naomba kujuwa kuhusu pesa ya kujiki,u wakati unapo ajiliwa,mimi nimeajiriwa hivi karibuni nataka kujuwa sheria inazungumziaje kuhusu haya malipo.nitalipwa pesa yote ya mwezi kama pesa ya kujikimu wakati naanza kazi au siku 14 au 7? naomba msaada na kufungu cha sheria asanteni
Back
Top Bottom