Recent content by Wabesa

  1. W

    Nasafiri kwenda Mueda, Mozambique kama kuna mwanaJf huko tufahamiane

    Mmmh Masasi- Mueda four hours?? Sina uhakika na hili...kipande kirefu ni Mtambaswala <>Mueda....hapo bado hujaitaifuta Mtambaswala from Masasi. Mtambaswala ipo Ofisi ya Uhamiaji na ndiyo Center ya Mpakani ....nilishakaa kwa siku kadhaa,kwa hiyo if you are not sure with Mtwara/Masasi nenda...
  2. W

    Ni Nani Huyu Apostle Mtalemwa Bushiri?

    King Kong III Waswahili wanamsemo,jambo usilolijua kama usiku wa Giza. Inawezakana humjui kweli au unamjua unataka kuleta ladha tofauti tu....kama ni Option ya pili/unamjua basi tuyaache...ila kama ni option 1/humjui basi tambua yuko kazini kama ajira. Hint tu,jina Bushir ni la Mtaalamu yeye...
  3. W

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Je,kuhusu hili tatizo la password kua not saved...even several times hence failed registration..nn tatizo? Taratibu zote za hint ya pswd characters zimefuataa.
  4. W

    Mwanamke: Mwanaume anapokuangalia anakuona mpaka ndani, viashiria hivi zingatia

    Inategemea na Wakati/Hadhi/Kujitambua kwa Mwanaume. Kati ya Jinsia ya Kike na Kiume. Jinsia ya Kiume inaongoza kupenda tendo la Ngono kuliko jinsia ya Kike. Kwa tafsiri kupenda(unyenyekevu),jinsia ya Kike inaongoza kupenda kama kupenda(not necessary sex) . From there...dhana hii kupenda...
  5. W

    Vodacom Wanakaangwa Afrika ya Kusini

    Umeongea vyema sana,Hongera. Ni kama sinema fulani inachezwa,mtoa inawezekana hajaijua ila naye ni mmojawapo wa Washiriki wa Movie. Swali la Msingi,Why Tanzania iwe mentioned kihivyooo?? Iweje ianze Mada yake kisha iwe connected na kujua what is going on TV against Mada? Ninachojua,kuna Staff...
  6. W

    Maoni Ushauri na Mapendekezo kwa mabasi ya mwendo kasi (DART): Nini changamoto, nini umefurahia?

    Sijajua kwa now days hawapendi kuprint karatasi ya salio kama awali. Mwanzoni,nilijua wanaogopa issue ya kuelezewa ktk mitandao kwa ushahidi. Ila hapa unaanza kunipa Idea mpya... Hivi pale anaweza kudeduct kiasi na kuweka ktk account yake magumashi? Cc: RRONDO
  7. W

    Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

    Thanks too. Upweke unapotawala kwa kiwango cha juu; *Utaujenga utajiri zaidi ya Bakhresa *Utajipa Ufalme zaidi ya Ufalme *Utajipa dhana ya kua Adui zaidi ya Maadui.. *Utapenda zaidi ya wanaopenda(hapa sasa ndipo utakapoanza kujenga appointment kisha ukiwa vizuri ni kutenda tu) *Ibada...
  8. W

    Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

    Kadololo. Zipo Thread humu zikijaribu kueleza miongoni mwa source wa tatizo lako... Jitahidi yafuatayo; *Kupunguza kukaa mwenyewe ndani kwa muda mrefu.... *Kua busy kwa shughuli na kutembea *Ibada kuzifanya ktk nyumba ya Ibada kuliko kua pekee...
  9. W

    Naomba ufafanuzi wa maneno: Would, Could and Should

    Wewe na Hassan Mdidi....mnaleta na maelezo ya awali. Thanks.
  10. W

    Kuna wizi mkubwa katika matumizi ya kadi ya mabasi ya mwendo kasi

    RRONDO: Nitashukuru kama kesi ya Kimara kwa wanaoenda Mbezi ukapata muda ukaleta mrejesho. Nina wasiwasi na wale abiria kulipa 800 pekee.... Wanafanya two entry case kwa mtazamo wangu.
  11. W

    Kuna wizi mkubwa katika matumizi ya kadi ya mabasi ya mwendo kasi

    Hapana Dada kesi ya Kimara inahitaji Maelezo kutoka kwa wahusika tena HARAKA. Huyu anayeunga kwenda Mbezi napata shaka sijui kama analipa 650+150 inayotakiwa. Pale Kimara,huyu wa kwenda Mbezi akishuka anafanya entry (ana scan) kisha akifika ktk mlango wa bus (ana scan)...umeona hili?? Hata...
  12. W

    Wahusika wa mwendokasi (UDART) tufahamisheni hili la Kimara

    Napata shaka sana. Kama si hivyo yawezekana; *650+ 400+400 *650+400+150 *650+ 400 Yawezekana ndiyo maana IDADI ya Safari na Makato inatusumbua ktk kadi na kua na SINTOFAHAMU kubwa. Hopeful watakuja kutueleza .
  13. W

    Wahusika wa mwendokasi (UDART) tufahamisheni hili la Kimara

    Sawa kabisa kwa maelezo yako. Ila pale Kimara tuna scratch sehemu mbili.... Je,au pale pa kupita kuelekea kwenye bus HUKATWI?? Kisha hiyo 150 inakatwa ndani ya gari? Mind you,hiki king'amuzi cha gari ndicho kinachokata 400 unapopanda Mbezi. Hili limekaaje?? Kama kuna button za...
  14. W

    Wahusika wa mwendokasi (UDART) tufahamisheni hili la Kimara

    Habari wakuu, Natumai humu ndani wapo au watasoma wahusika wa UDART. Nikiwa natoka Kariakoo/Posta naunga kwenda Mbezi, namiliki kadi nikifika pale Kimara nakwangua kadi sehemu mbili. *Pa kupita kuelekea liliko bus. *Ndani ya bus. Je, nakatwa vipi hapo ili ije total Tshs 150?
  15. W

    Waziri Mkuu okoa jahazi, UDART wameshindwa kuendesha mradi wa mwendo kasi

    Inabidi ufanisi uongezwe. Hakuonekani Dalili za kufanyika KAZI changamoto zaidi kunaonekana Jitihada za kuongeza pesa tu,mwisho wa siku tutakuja kuambiwa kuna kikundi kimebeba bilioni kadhaa ndani ya Miezi Nane ya uendeshaji DART. Kiukweli kunahitajika JITIHADA za kuongeza Ufanisi wa haya yanayo...
Back
Top Bottom