Recent content by Verily Verily

  1. V

    Ningekuwa na karama ya kulaani ningelilaani Italia (Roma) kwa kusababisha usumbufu kati ya Myahudi na Muislam

    Mashambulizi na mapigo juu ya Yerusalemu na Uyahudi AD 67-73 yalikuwa tu ni mapatilizo (soma hapa chini Luka 21:21-22, angalia maneno kama "hasira juu ya taifa hili") ya kutimiza maneno ya Kristo baada wayahudi na waisraeli wengine kumkataa masihi mfalme wa amani. Warumi walitumiwa tu na Bwana...
  2. V

    Nabii wa Wasabato Mama White adai aliambiwa na malaika sabato ni amri ya kipekee kuliko zote ni muhuri wa Mungu na haikupigiliwa misumari msalabani

    Mkuu Uzalendo Nakupa kudo sana. Endelea kutuletea mafundisho na tafakari juu ya hii dini ya uongo ya Ellen G. White. Naona na wewe inakuudhi kama inavyoniudhi hasa kutokana na kuonekana kwa nje kama dini ya kweli huku ikiwa imebeba upinga Kristo wa kina cha juu kabisa. Niweke wazi nawapenda...
  3. V

    Nakwenda kwenye kifungo kigumu sana 2024 ila kitanisaidia sana.

    Daah hongera sana. Bwana akutie nguvu. Ni malengo mema. Unaweza usiyafanikishe yote lakini ni mwanzo na mweleko mwema. Tutafutane inbox maana tuko njia moja katika malengo hayo.
  4. V

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Ndio ujue uonevu na maumivu ya mme ambapo wote mme na mke wameajiriwa. Mshahara wa mme ni wa wote na mshahara wa mke ni kwake peke yake.
  5. V

    Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

    Wakolosai 2:18 Mtu asiwanyang'anye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono yake na kujivuna bure, kwa akili zake za kimwili; Mathayo 24: 4-5 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina...
  6. V

    Mi naona wajapani ndio binadamu walikamilika kuanzia maisha yao

    Ungalijua alacho nyuki usingalionja asali. Hakuna taifa la hovyo kama Japan tofauti na linavyopambwa pambwa kwa huruma za kupigwa nyuklia sawa sasa na Wairael wanavyoabudiwa kwa huruma ya kuuawa na Hitler. Yote hayo ni mipango ya "movers and shakers" wa dunia hii. Tafakari tu ndogo, jiulize...
  7. V

    Wakristo wasio Wasabato wanaruhusiwa kula paka, panya, kobe, kinyonga, kenge, kunguru, nyani, n.k?

    1 WAKORITHO 6:12 Kila kitu ni halali kwangu,”lakini si kila kitu kina faida. “Kila kitu ni halali kwangu,”lakini sitatawaliwa na cho chote.
  8. V

    Matrafiki wameanza tena kamata kamata

    Matrafiki wameachiliwa tena. Hali ya barabarini leo Jumatatu 5/9/2022 ni mbaya sana. Wamejaa kila barabara.
  9. V

    Matrafiki wameanza tena kamata kamata

    Hivi ni kweli suluhu ya uonevu wa matrafiki imekosekana kabisa? Maana na kilio cha kiongozi mkubwa kama Makamu wa CCM hakisikilizwi sasa.
  10. V

    Matrafiki wameanza tena kamata kamata

    Kuna haja ya kutengeneza Mswada was Sheria ya Mageuzi ya Utendaji wa Jeshi la Polisi Tanzania. CCM chini ya mzee Comrade Kinana Liangalie hili. Litawapa kukubalika na wananchi 2025 Lakini pia CDM ya Mbowe na Mnyika hii ni fursa ya kuamsha upya ushawishi. Vinginevyo tamko la Makamu Myenyekiti...
  11. V

    Matrafiki wameanza tena kamata kamata

    Hapo Arusha hali ikoje matrafiki wamepunguza fujo?
  12. V

    Matrafiki wameanza tena kamata kamata

    Miezi michache baada ya rai ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Comredi Adulrahaman Kinana kwa jeshi la polisi kupunguza bugudha kwa magari na hasa maeneo ya mijini, hali imebadilika na taratibu inaanza kujirudia kama ilivyokuwa awali. Ule unafuu uliokuwa umeanza kupatikana sasa unapotea kwa haraka...
  13. V

    The shameless tribe that foisted the killing of babies a.k.a. abortion on humanity exposes itself

    Na laana hizi zote zitakujilia juu yako, zitakuandama na kukupata, hata uangamizwe, kwa kuwa hukuisikiza sauti ya BWANA, Mungu wako, kushika maagizo yake na amri zake alizokuagiza; kwa kuwa hukumtumikia BWANA, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingi wa vitu vyote; kwa...
  14. V

    The shameless tribe that foisted the killing of babies a.k.a. abortion on humanity exposes itself

    Ee Mungu, laiti ungewafisha waovu! Enyi watu wa damu, ondokeni kwangu; Je! BWANA nisiwachukie wanaokuchukia? Nisikirihike nao wakuasio? Nawachukia kwa ukomo wa chuki, Wamekuwa adui kwangu. Zab 139:19‭, ‬21‭-‬22 SUV Hilo ni neno la Mungu
  15. V

    The shameless tribe that foisted the killing of babies a.k.a. abortion on humanity exposes itself

    Ndugu naona biblia huna habari nayo kabisa. Huyo ni Bwana Yesu Kristo akiwaambia wayahudi. Je hayo anayoyesema sio matendo ya giza kama anayoyaeleza Mathazua? Jaribu kuwa unasoma biblia utajipatia maarifa na ukiamini, basi utapata uzima wa milele. YOHANA 8:44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi...
Back
Top Bottom