Recent content by ukweli2

  1. U

    Msaada: Series za mambo ya siasa na ujasusi!

    The last ship kesho asubuhi itakua hewani
  2. U

    Chemsha bongo

    The name of the ship is WHAT. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. U

    Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

    1. Todd Dulaney - Victory Belongs To Jesus 2. JJ. HAIRSTON & YOUTHFUL PRAISE - YOU DESERVE IT
  4. U

    Nifundishe jinsi ya kutumia wifi hotspot kutoka...

    1. Run. Press the "Windows key" and "R" buttons at the same time. The Run window will pop up. 2. Command Prompt. Type "cmd" in the box then hit "Enter" or OK. The Command Prompt will pop up, with Administrative Privileges. 3. Device Check. Type netsh wlan show drivers in...
  5. U

    Msaada wa kuset 3/4g katika sony xperia z4

    Andika *#*#7378423#*#* itakuja firmware na details za simu pia utaweza kutesti sensor ya simu.
  6. U

    Whatsapp calling activation

    Kama play store aifungiki check kwanza kama internet imekaa vizuri(je unapata internet vizuri,mobile data yake ipo enabled?), kama internet ipo poa yaan vitu vingine unapata via internet basi inabidi ufomat hiyo cm(factory restore), uanze upya kila kitu...NB: fanya backup ya vitu vyako kwanza...
  7. U

    Whatsapp calling activation

    Uninstal hiyo whatsapp alafu ufanye installation upya
  8. U

    Hii ni "typing error" au kiswahili kigumu?

    'kamati maafa kahama yasusua'
  9. U

    Whatsapp calling activation

    Asante sana mkuu.. Imekubali:thumbup:
  10. U

    Lenovo tablet for sale

    Mkuu Specification zake...
  11. U

    Maiti yaombewa ifufuke, yagoma

    Hosea 4:6 ...watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...
  12. U

    New life band arusha

    Enzi hizo za mikutano ya Big November iliyokuwa inafanyika jangwani NLB ndo walikua wanaongoza sifa..na walikua wapo wakina Samson Anania kwenye drums na alikua na ndugu yake Joseph Anania,Ibrahimu alikua akipiga keyboard na gitaa Hondo bass Gideon gitaa wengine Wilson na mke wake, Tito, Stella...
  13. U

    Msaada: Flash Imejaa Data za GB 4 ila Ina File za MB 2 Tu.

    bila shaka ujaifomati hiyo flash.. Jaribisha hii njia. angalia hiyo flash yako imepewa herufi gani mf E au F.. fungua command prompt.(cmd) kama unatumia windows 7 bonyeza start alafu pale kwenye search programs and files type CMD then enter.. itakuja hiyo cmd sasa andika herufi ya hiyo flash...
  14. U

    tafadhari msaada msaada

    Kwanza cheki kama una network driver kwenye hiyo laptopyako.... nenda kwenye device manager ndo utajua kama drivers zipo au laaa..kama hakuna driver za network huwezi pata internet kwa kutumia hiyo network cable.... so check kwanza hiyo inshu na ukipata internet ndo utaweza kufanya iyo...
Back
Top Bottom