Maiti yaombewa ifufuke, yagoma

Afadhali Boko haram wakati mwingi hawashughuliki na wasichana!
Na istoshe waliowachukua ni wasichana si chini ya miaka 12!

Wale LORD RESISTANCE ARMY wa uganda walikuwa wanachinja na kubaka kwa JINA LA YESU! Na walikuwa wanabeba vitoto vya miaka 5! Mpaka 6.

Wagalatia mnajifanya vipofu! Lkn mnajua kuwa nyie ndio wabaya kuliko hata hao boko haram!

hamuwezi kujenga hoja bila kutukana imani za watu? mna jidharirisha sometime sio kila mtu anapenda kuona mnadharau uislamu/ukristo acheni upum.bavu.
 
Last edited by a moderator:
hamuwezi kujenga hoja bila kutukana imani za watu? mna jidharirisha sometime sio kila mtu anapenda kuona mnadharau uislamu/ukristo acheni upum.bavu.

Nadhani mp.umbavu ni yule ambae anaona wale wanao wakumbusha watu ibada ya MUNGU Mmoja na kuacha kuabudu masanamu ya wazungu! Wapum.bavu!

Na mtu akiwa na akili za ki machinga basi busara zake zote zinamalizikia kuzurura mitaani tu!
 
Imani nyingine ni ujinga mtupu. Ngoja wachomwe moto na kabwetere ndio akili zitakomaa.
 
Nadhani mp.umbavu ni yule ambae anaona wale wanao wakumbusha watu ibada ya MUNGU Mmoja na kuacha kuabudu masanamu ya wazungu! Wapum.bavu!

Na mtu akiwa na akili za ki machinga basi busara zake zote zinamalizikia kuzurura mitaani tu!

We sio bure utakua una tatizo tu..
 
Back
Top Bottom