Recent content by tzhosts

  1. tzhosts

    Takwimu za JamiiForums

    Bado kuna watu wan id zaidi ya moja humu JF.Na Trust me kila mtu ambaye yuko active humu huwa ana ID angalau 2-3.Kuna Dormant n.k.
  2. tzhosts

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Kwanza kabla ya kumuuliza Kama ameridhika au la Jiulize iwapo amewahi kuridhishwa au kama anaelewa kuridhishwa kuna ladha gani.Maana anaweza kuwa ana mambo mengi kichwani halafu unatarajia kwamba utamridhisha. Ila kwa ushauri wa kitaalamu kabisa.Nunua Chupa ya Wine Mnywe wote kabla ya tendo...
  3. tzhosts

    Kwani ni lazima wauza nafaka wote jumla kuwa na mizani ile kubwa ya bei kubwa, hizi za digital hazifai kupimia magunia?

    Nafikri Hii ya Manual ni rahisi sana Kuwaibia wanaoleta kuja kuuza maana huwa ndio walengwa wakuu wa kuibiwa.Anapigwa kila 5 kwa kila kilo mia
  4. tzhosts

    Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Ni bora umwambie tu awe anajitolea kama HOBI.Ila kusema kwamba Utamlipa BUKU kwa MCHORO.Imagine Hapa JF Mello Angesema Analipa 1000 kwa kila POST kama watu wangepoteza muda kuandika POST.Ila kwa sababu ya LIKEs na Comments watu wanaweka Contents za maana kabisa.Kiufupi ukimpa mtu malipo kidgo...
  5. tzhosts

    Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Kuna kitu fulani na kiona unataka kukifanya.Tatizo ni Bei uliyoweka.All in Alnakutakia kila la HERI
  6. tzhosts

    Biashara ya simu na vifaa vyake kutoka China

    Nimesoma huu uzi nikasikitika.Kuagiza Mzigo china siku hizi unaweza kufanya online.Ila inategemea na Thamani ya Mzigo na aina ya Bidhaa.Kama Ndio Unaanza kuna majukwaa kama Aliexpress,Alibaba,Made in China.com na Mengine mengi.Unachotakiwa kufanya kwanza ni kuamua aina ya bidhaa kisha tembelea...
  7. tzhosts

    Sioni haja ya kwenda chuo

    So unataka kwenda Wapi?Kila Uamuzi huwa na Pros and Cons.Tafakari UPYA
  8. tzhosts

    Miliki Online Business kwa Gharama Nafuu

    Habari za wakti huu? Hizi ni baadhi ya biashara ambazo unaweza kuanzisha na kuzifanya kwa njia Mtandao. Duka la Mtandaoni (E-commerce): Hii inahusisha kuuza bidhaa mtandaoni. Unaweza kuunda bidhaa zako au kuzipata kutoka kwa wauzaji na kuziuza kupitia majukwaa yako. Dropshipping: Hii ni aina ya...
  9. tzhosts

    Blog ya Millardayo.com imekuwa suspended baada ya kutolipia huduma ya hosting

    Role Model wa Bloggers wa Bongo hapa Kazingua.Kakosa Milioni moja tu kwa mwaka ya kuweka site yake hewani?
  10. tzhosts

    Blog ya Millardayo.com imekuwa suspended baada ya kutolipia huduma ya hosting

    Huo Ujumbe ni kama wamemkomoa maana Utathiri hadi ranking na reputation ya Blog.Kutakuwa na shida mahali kwa upande wa Millard
  11. tzhosts

    Blog ya Millardayo.com imekuwa suspended baada ya kutolipia huduma ya hosting

    Kutakuwa na issues nyingine maana hio haina ya ujumbe ni wa kibabe sana.Utaathiri Ranking yake Google n.k.Kwani kuna shida gani hasa?
Back
Top Bottom