Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

IMG_20220414_221322_740.jpg
 
Picha yako ni more expensive kuliko watu watakazo chora.

Alafu kwa ujira wa buku kwenye kazi ya kufikiria na kutumia sana akili hutapata mtu
Hata sio expensive, hiyo unayoiona nimechora mwenyewe roughly kwenye PAINT App ya Microsoft, haikuchukua hata dk 10
 
Kuna kitu fulani na kiona unataka kukifanya.Tatizo ni Bei uliyoweka.All in Alnakutakia kila la HERI
Mkuu mbona bei ni reasonable sana kwa mtu mtu ambaye yupo vizuri kwenye kuchora, kama mtu anaweza kuchora for fun why not accumulating those 1ks???
 
Mkuu mbona bei ni reasonable sana kwa mtu mtu ambaye yupo vizuri kwenye kuchora, kama mtu anaweza kuchora for fun why not accumulating those 1ks???
Ni bora umwambie tu awe anajitolea kama HOBI.Ila kusema kwamba Utamlipa BUKU kwa MCHORO.Imagine Hapa JF Mello Angesema Analipa 1000 kwa kila POST kama watu wangepoteza muda kuandika POST.Ila kwa sababu ya LIKEs na Comments watu wanaweka Contents za maana kabisa.Kiufupi ukimpa mtu malipo kidgo ambayo hayaoneshi kwamba unathamini kazi au kipaji chake unakuwa umemvunja moyo.
 
Bongo Dah kila mchoraji anayekuja PM namwambia achore sample nione harudiii🤣🤣🤣 kwanini sisi ni wababaishaji kiasi hiki. Mwingine kasema ngoja nifike home nakuchorea mpaka leo....sjui bado hajafika home?
 
Back
Top Bottom