Mitaani watu wanaujua sana sema hakuna mtu atakubali kukwambia kama anaujua.Bro usidanganyika na viewers huwa ina multiple countings. Yaani mimi nikiview Uzi wako sahivi halafu nikiview Tena badae then nikaview mtondogoo it's triplize. Kiuhalisia JF hatufiki hata members laki Tano hata mitaani ukiongelea jf 98% hawajui. You are luck to be here bro.