[QUOTE="Bonesmen, post: 15824664, member: 349141"]Poleni sana mkuu ebu chunguzeni hamna by pass yoyote baada ya mita apo mana kwa dar kuna hio michezo mtu ana loop umeme kwa nyumba ya jirani na anapeleka kwake sio kwamba hana mita lah anayo ila mita yake ataipa load ndogo ndogo but heavy load...
Wasalaam,
Naamini hapa ni kila kitu na ninaweza kupata msaada ili kuweza kutatua tatizo lililopo.
Ni nyumba ya kuishi, familia yenye jumla ya watu sita (6) - watu wazima wa nne (4) watoto wawili (2).
Umeme uliounganishwa ni single phase.
Jumla ya taa zinazowashwa usiku kucha ni sita (6) -...
WAPO WATU WANATUMIA ADVANTAGES ZA WASIOELEWA MAMBO KUJIFANIKISHIA MIPANGO YAO.
KUNA MTU ALI-SAVE JINA LA MCHEPUKO WAKE KWA KUTUMIA NAMBA BADALA YA JINA MF. 08900000000, THEN AKAMTUMIA MKEWE MSG KUWA USIPOKEE NAMBA 089000000000 NI YA FREEMASON UTAKUFA ETI AMETUMIWA NA NDUGU YAKE.
kWA KUWA MKWEWE...
NAAMINI:
Waliosoma seminary kwa uzoefu mdogo nilionao ni watu fulani wenye mwelekeo chanya katika nyanja zote za maisha. Katika uongozi wapo sawa lakini pia katika mambo mengine ya ajira (ufanisi kazini), biashara, uanzishaji na uongozi wa makampuni binafsi.
Nimesoma seminari, ninawenzangu...
Karatu Boy.... nakumbuka tulikuwa na vijana from Karatu enzi hizo (1993 -1998), marehemu Fr Bilos alikuwa anawachukia maana alikuwa anawaona ni kama wahuni/wajanja sana. Fr. Uhuru yupo kwao KRT sio.... wapi Fr. Almas, Fr. Reginald, Fr. Peter Salaho, Fr. James Yarot, etc. Nayakumbuka maisha ya...
Bw Bwai, duh umenikumbusha ma fr kibao.
Hivi Fr Ligogo hayupo? Lini na nini kilimchukua? Namkumbuka sana kuanzia akiwa Frateri hadi anapata u fr. Fr Uhuru (mwana soka) alirudi seminary? Huyo rector ni wa miaka ipi? Nakumbuka baada ya Fr Bilos (RIP) alifuata Qameyu (tempa) then Axwesso kama...
Nipitia posts zote sijaona wale wa SANU Seminary (St Joseph Mbulu).
Vipi huko kukoje?
Nilipita pale for 6yrs enzi za Rector Fr. Bilos (RIP),. Kweli maisha yale ni tofauti kabisa. Wapi Sr Bondia?
Adharusi,
Nadhani wewe utakuwa unachanganya kati ya mita za ujazo "aka Square Meters" (urefu x upana) na mita za marefu. Bei tajwa ni kwa mita za ujazo ambazo unaweza kuwa sahihi kutokana na swali lako kuwa mita 30 ni sawa na Tzs 240,000 tu yaani ni sawa na Mita 6 (urefu) na Mita 5 (Upana)...
Mkuu,
Nisaidie niweze kupima na eneo langu au yeyote mwenye uelewa au mhusika.
Lipo Mlandizi - Kibaha, lina ukubwa wa kama 32,000sqm. Jirani yangu pamepimwa viwanja mwaka 2011 tunatenganishwa na barabara.
Napenda kujua gharama za kufanya zoezi hilo ili na mimi nipate hati miliki maana nasikia...
Mkuu shukrani kwa taarifa.
Mimi nina eneo lenye ukubwa wa ekari 8, napenda kuli-survey, lipo Mlandizi sijui kwa makadirio inaweza kunigharimu kiasi gani
Wasalaam wana JF,
Naomba kwa wazoefu kujulishwa makadirio ya kupaua nyumba kama hii hapa (picha) kwa maeneo ya Kibaha.
Nategemea kuezeka kwa bati sio vigae.
Upana wa nyumba ni kama mita 10 na urefu ni mita 18.
Asante kwa makadirio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.