Search results

  1. S

    Matumizi makubwa ya Umeme Nyumbani; Nini chanzo?

    [QUOTE="Bonesmen, post: 15824664, member: 349141"]Poleni sana mkuu ebu chunguzeni hamna by pass yoyote baada ya mita apo mana kwa dar kuna hio michezo mtu ana loop umeme kwa nyumba ya jirani na anapeleka kwake sio kwamba hana mita lah anayo ila mita yake ataipa load ndogo ndogo but heavy load...
  2. S

    Matumizi makubwa ya Umeme Nyumbani; Nini chanzo?

    Wasalaam, Naamini hapa ni kila kitu na ninaweza kupata msaada ili kuweza kutatua tatizo lililopo. Ni nyumba ya kuishi, familia yenye jumla ya watu sita (6) - watu wazima wa nne (4) watoto wawili (2). Umeme uliounganishwa ni single phase. Jumla ya taa zinazowashwa usiku kucha ni sita (6) -...
  3. S

    Viwanja vinauzwa

    Aiseee.... bie ipo hivyo kibaha. 18m, 7km frm main road? kumbe nilikuwa natoa bure eneo langu.l nimetangaza nauza eka 2 (mita 70 kwa 140) kwa shs 12m. 3.5km frm Morogoro road, Madafu. siuzi tena!!!
  4. S

    Kwa waliongalia taarifa ya HABARI leo,taarifa ya hii namba inayoishia 9999 ni ya kweli??

    WAPO WATU WANATUMIA ADVANTAGES ZA WASIOELEWA MAMBO KUJIFANIKISHIA MIPANGO YAO. KUNA MTU ALI-SAVE JINA LA MCHEPUKO WAKE KWA KUTUMIA NAMBA BADALA YA JINA MF. 08900000000, THEN AKAMTUMIA MKEWE MSG KUWA USIPOKEE NAMBA 089000000000 NI YA FREEMASON UTAKUFA ETI AMETUMIWA NA NDUGU YAKE. kWA KUWA MKWEWE...
  5. S

    Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    NAAMINI: Waliosoma seminary kwa uzoefu mdogo nilionao ni watu fulani wenye mwelekeo chanya katika nyanja zote za maisha. Katika uongozi wapo sawa lakini pia katika mambo mengine ya ajira (ufanisi kazini), biashara, uanzishaji na uongozi wa makampuni binafsi. Nimesoma seminari, ninawenzangu...
  6. S

    Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Karatu Boy.... nakumbuka tulikuwa na vijana from Karatu enzi hizo (1993 -1998), marehemu Fr Bilos alikuwa anawachukia maana alikuwa anawaona ni kama wahuni/wajanja sana. Fr. Uhuru yupo kwao KRT sio.... wapi Fr. Almas, Fr. Reginald, Fr. Peter Salaho, Fr. James Yarot, etc. Nayakumbuka maisha ya...
  7. S

    Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Bw Bwai, duh umenikumbusha ma fr kibao. Hivi Fr Ligogo hayupo? Lini na nini kilimchukua? Namkumbuka sana kuanzia akiwa Frateri hadi anapata u fr. Fr Uhuru (mwana soka) alirudi seminary? Huyo rector ni wa miaka ipi? Nakumbuka baada ya Fr Bilos (RIP) alifuata Qameyu (tempa) then Axwesso kama...
  8. S

    Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Nipitia posts zote sijaona wale wa SANU Seminary (St Joseph Mbulu). Vipi huko kukoje? Nilipita pale for 6yrs enzi za Rector Fr. Bilos (RIP),. Kweli maisha yale ni tofauti kabisa. Wapi Sr Bondia?
  9. S

    "Kama hauna hela mwanamke Mzuri atabakia kuwa Shemeji yako tu!"

    Ref: Sam wa Ukweli (26.09.2013) Clouds FM; Leo Tena.
  10. S

    Viwanja vilivyopimwa(surveyed) vinauzwa bagamoyo

    Adharusi, Nadhani wewe utakuwa unachanganya kati ya mita za ujazo "aka Square Meters" (urefu x upana) na mita za marefu. Bei tajwa ni kwa mita za ujazo ambazo unaweza kuwa sahihi kutokana na swali lako kuwa mita 30 ni sawa na Tzs 240,000 tu yaani ni sawa na Mita 6 (urefu) na Mita 5 (Upana)...
  11. S

    Viwanja vilivyopimwa(surveyed) vinauzwa bagamoyo

    Mkuu, Nisaidie niweze kupima na eneo langu au yeyote mwenye uelewa au mhusika. Lipo Mlandizi - Kibaha, lina ukubwa wa kama 32,000sqm. Jirani yangu pamepimwa viwanja mwaka 2011 tunatenganishwa na barabara. Napenda kujua gharama za kufanya zoezi hilo ili na mimi nipate hati miliki maana nasikia...
  12. S

    Viwanja vilivyopimwa(surveyed) vinauzwa bagamoyo

    Mkuu shukrani kwa taarifa. Mimi nina eneo lenye ukubwa wa ekari 8, napenda kuli-survey, lipo Mlandizi sijui kwa makadirio inaweza kunigharimu kiasi gani
  13. S

    Gharama za Ujenzi wa Nyumba

    Wasalaam wana JF, Naomba kwa wazoefu kujulishwa makadirio ya kupaua nyumba kama hii hapa (picha) kwa maeneo ya Kibaha. Nategemea kuezeka kwa bati sio vigae. Upana wa nyumba ni kama mita 10 na urefu ni mita 18. Asante kwa makadirio.
  14. S

    picha ya leo

    Aisee kweli!!! Kama unapanda ukitokea Maore kwenda Mshiwi vile.
  15. S

    Cpa (t)

    Pole na majukumu, Naomba kuuliza; Kwa mtu aliyesoma B.Sc in Building Economics (degree ya kwanza) kisha akasoma MBA Marketing, akitaka kusomea mitihani ya uhasibu atakuwa anaqualify kuanza na level ipi ya juu? (Module gani kati ya A, B, C & E) Shukurani.
  16. S

    Body Massage - Moshi Kilimanjaro

    Hapana muheshimiwa, Nilikuwa napenda kufahamu tu kama hii biashara ya Massage centerz inalipa Dar tu. Huko Moshi nilikuwa nazunguka sana katika shuguli zangu kwa mwezi mzima sijawahi kuona bango lolote la massage senter. au huko moshi wanatumia jina lingine?
  17. S

    Body Massage - Moshi Kilimanjaro

    Wandugu, Nilikuwa mjini Moshi kwa takriban mwezi (January 2013), sijabahatika kuona vituo vya kufanyia body massage kama nilivyoona jijini Dar es Salaam. Ni kwamba Moshi hakuna hiyo huduma au?
  18. S

    Shamba bei pooooaaa!

    Hilo shamba linafanana na lingine lililopo Visiga Madafu (3km frm Morogoro Road) linalouzwa 3.5m @acre. Duh sijui nikanunue wapi sasa maana bei naiona ipo juuuuuuu Hivi chalinze siwezi pata angalau acre 5 kwa 1m jumla?
  19. S

    Nauza gari Tsh 7m

    Ni Toyota Cresta; 1997 model; 1998cc; AT; 99850km (10 July 2012); lipo katika hali nzuri; lipo Dar es Salaam; linauzwa wakati wowote na unanunua na kuendelea kulitumia wakati huo huo kwani halina tatizo lolote. Insurance Comprehensive; Valid Road License etc etc etc. Bei Tsh 7m. Call: 0685386608
Back
Top Bottom