Recent content by Rege

  1. R

    Shemsa Mohamed wa CCM kabla hujatoa kibanzi kwa Luhaga Mpina anza kutoa boriti jichoni mwako

    Naandika ujumbe huu kwa masikito makubwa juu ya Kauli zako ulizozitoa kwenye mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM pale Tarafani Kanadi Wilaya ya Itilima siku ya Tarehe 25.4.2024 kuhusu Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa. Umeutumia mkutano huo wa ndani wa Viongozi wa CCM Itilima badala ya...
  2. R

    Luhaga Mpina ulichoma nyavu za wavuvi, huna unalali wa kuwataja mafisadi

    LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi. Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni...
  3. R

    Mwigulu, Makamba na Mbarawa hawahusiki na ufisadi

    jenga hoja yako acha matusi wanahusikaje? kama sio kutaka kuwachafua
  4. R

    Mwigulu, Makamba na Mbarawa hawahusiki na ufisadi

    Mawaziri Mwigulu Nchemba, January Makamba na Makame Mbarawa wanasingiziwa kuhusika na ufisadi kupitia ripoti ya CAG lakini ukweli ni kwamba viongozi hawa wanasingiziwa na hakuna uthibitisho wowote wa wao kuhusika na ufisadi. Hivyo tuwaache wafanye kazi walioaminiwa na Rais tusilazimishe...
  5. R

    Waziri Dkt. Mwigulu atangaza bungeni kukopa Trilioni 6

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025. Dkt. Nchemba amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka...
  6. R

    Viongozi wa dini watembelea Bwawa la Nyerere

    Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), limesema mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakuwa na manufaa makubwa manne ambayo ni kufua umeme, uvuvi, utalii na ufugaji. Kauli hiyo wameitoa leo wakati wanazungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kumaliza ziara ya...
  7. R

    Mwasheria Mkuu ajiuzulu kwa lipi?

    Wewe ni wakala wa nani
  8. R

    Mbunge Subira amvaa Profesa Tibaijuka sakata la Bandari

    Tibaijuka anapotosha
  9. R

    Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Mh. Rais Samia hajawapa rushwa ya kiwanja Chama cha Wanasheria TLS kiwanja kujenga ofisi yao Arusha. msipende kutunga uongo kwa Mh. Rais, Rais mbona anasadia mengi na hamsemi kupewa TLS imekuwa nongwa.
  10. R

    MO na GSM wako kimya suala bandari Rostam amewawakilisha

    Gharib anaweza hata kuendesha hiyo bandari kwa taarifa yako
Back
Top Bottom