Januari Makamba hajatoa rushwa kwa Spika wala Wabunge

Rege

Senior Member
Jul 9, 2022
113
142
Kumekuwa na kelele nyingi wiki hii kwamba Januari Makamba ametoa sijui bilioni 3 kuwahonga Wabunge ili wapiteshe Bajeti yake na kutumia sijui milioni 700 kuhonga Vyombo vya Habari vyote ili visiripoti Michango ya Wabunge wanaokosoa Utendaji wa Wizara.

Hizo tuhuma ni za uongo na hazina uthibitisho wowote, lakini bado tunasisitiza kama kuna mtu anaushauri wa mambo ambayo hayako sawa afike Wizarani kuyawasilisha na yatafanyiwa kazi.

Hizo tuhuma za kumuhonga Spika na Wabunge ni za kipuuzi na tunapaswa kuzipuuza. Kisa akidi ya Wabunge haitukumia wakati wa mjadala, wengi walitasafiri eti Wabunge wamehongwa na kuondoka Bungeni kwenda kula maisha mjini Dar, mambo ambayo ni ya uongo.
 
Ukiona mtu anatetewa jua katoa kweli, yani ulale nyumbani kwako ,kesho yake ujue hajatoa rushwa , hivi unajua mfumo wa kifisadi unavyofanya kazi, hule hufanya kazi kwa network kali kama mtandao wa wauza madawa ya kulevya

Yani mtu anapigwa pesa ya hango ,inaenda USA badae inakufuata Bongo in a minute, ni mfano tu inaweza tokea popote , hata kwa kulipwa na mtu binafsi ,au campuni ilihali mlishayajenga

Sasa wewe ulale alafu unaamuka na utetezi mwepesi kwa mtu ambae wenda unamfaham tu juujuu, acheni utoto
 
Kumekuwa na kelele nyingi wiki hii kwamba Januari Makamba ametoa sijui bilioni 3 kuwahonga Wabunge ili wapiteshe Bajeti yake na kutumia sijui milioni 700 kuhonga Vyombo vya Habari vyote ili visiripoti Michango ya Wabunge wanaokosoa Utendaji wa Wizara.

Hizo tuhuma ni za uongo na hazina uthibitisho wowote, lakini bado tunasisitiza kama kuna mtu anaushauri wa mambo ambayo hayako sawa afike Wizarani kuyawasilisha na yatafanyiwa kazi.

Hizo tuhuma za kumuhonga Spika na Wabunge ni za kipuuzi na tunapaswa kuzipuuza. Kisa akidi ya Wabunge haitukumia wakati wa mjadala, wengi walitasafiri eti Wabunge wamehongwa na kuondoka Bungeni kwenda kula maisha mjini Dar, mambo ambayo ni ya uongo.
Mbona unatumia nguvu kubwa saana kuwatetea hao mawaziri wawili??.mwigulu na makamba
 
Mimi huyu JM japo Kuna vitu nampinga ila Kuna vitu namwelewa kama hili la kugawa hizo gesi zake, hii nchi ujinga ni mwingi sana na sehemu yenye ujinga mwingi kuleta maendeleo inahitaji kufosi maana Kuna mtu hatumii jiko la gesi basi tu eti bibi yake alipikia Kuni na baadaye analalamika mazingira hayatuzwi yaani ujinga tu, hivyo hiyo njia ya kugawa mitungi agawe sana ila tu asikomee mitungi peke yake akimaliza afunge umeme wa Bure kwa kila nyumba, vituo vya gesi na mafuta kila mtaa, mwisho Bei iwe rahisi hapo atapata sifa zake kila mtu ataita gesi au umeme wa Makamba mbona mifuko ya plastic aliacha ligasi?
 
Pia amewahonga kuanzia supika na bonge loote mitungi ya gesi..wananchi tupo maelfu huku majimboni hiyo mitungi 100 watampa nani wamnyime nani zaidi ya kubaki nayo wao wabonge na mingine kuhonga kwa vimada.
 
Siasa za majitaka zilianzishwa kijingajinga na watu wapuuzi wakijifanya wazalendo bila facts zilizothibitishwa.
Kwa sababu ya kufuata mkumbo, na chuki zinazosababishwa na ubinafsi pamoja na tamaa ya mali na madaraka, yahitaji kufanya utafiti kidogo kupata ukweli wa nani ni mzalendo na yupi ni fisadi.
 
Pia amewahonga kuanzia supika na bonge loote mitungi ya gesi..wananchi tupo maelfu huku majimboni hiyo mitungi 100 watampa nani wamnyime nani zaidi ya kubaki nayo wao wabonge na mingine kuhonga kwa vimada.
lete ushahidi
 
Kumekuwa na kelele nyingi wiki hii kwamba Januari Makamba ametoa sijui bilioni 3 kuwahonga Wabunge ili wapiteshe Bajeti yake na kutumia sijui milioni 700 kuhonga Vyombo vya Habari vyote ili visiripoti Michango ya Wabunge wanaokosoa Utendaji wa Wizara.

Hizo tuhuma ni za uongo na hazina uthibitisho wowote, lakini bado tunasisitiza kama kuna mtu anaushauri wa mambo ambayo hayako sawa afike Wizarani kuyawasilisha na yatafanyiwa kazi.

Hizo tuhuma za kumuhonga Spika na Wabunge ni za kipuuzi na tunapaswa kuzipuuza. Kisa akidi ya Wabunge haitukumia wakati wa mjadala, wengi walitasafiri eti Wabunge wamehongwa na kuondoka Bungeni kwenda kula maisha mjini Dar, mambo ambayo ni ya uongo.
makubwa
 
Back
Top Bottom