Kwanini mnamtaka Rais atoe kauli kuhusu Bandari wakati wahusika wameshatolea ufafanuzi?

Rege

Senior Member
Jul 9, 2022
113
142
SUALA la Bandari tayari limeshatolewa ufafanuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Elieza Feleshi, Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo.

Sasa nyie mnataka Rais azungumze nini tenawakati viongozi wote wa Chama na Serikali wameshatolea ufafanuzi suala la bandari.
 
Serekali ni umoja wao viongozi, mmojawao akishatolea maelezo maana yake ndio SEREKALI IMESEMA!
 
Back
Top Bottom