Recent content by prometheus

  1. prometheus

    Polisi feki wakamatwa mkoani Iringa! fursa hizi zitatumaliza

    kaupendea nini uaskari wa mshahara wa 80 penshion ya milion nane kwa muda wa miaka 45 si bora abaki kuwa mwalimu wizara ambayo inatumia sheria za mkoloni na hawataki kurekebisha wizara kwa taarifa ya wizara ya kambi ya upinzani
  2. prometheus

    Nani mkubwa wa rushwa kati ya hawa

    jamani nasikia tanzania ni ya pili kwa rushwa kati ya nchi tano za ukanda wetu je ni wizara gani inaongoza kwa rushwa na kwa nini zanzibar rushwa ni hamna si kama huku
  3. prometheus

    Ukweli wa kuvamiwa na kukamatwa kwa Dk. Hamis Kigwangalla jimboni Nzega

    mleta mada hujui chochote na hufai kuongea mbele ya jamii chombo cha dola mpaka kimjulishe nani acheni siasa za mavi ni heri wewe wa ccm ulifaa upigwe sana ili ujifunze zaidi kuwa utii bila shuruti umefanya kosa umbembelezwe nani kakuambia jeshini kuna porite language jeshi la wapi umewahi...
  4. prometheus

    Mfumo wa vyeo vya jeshi la magereza tanzania toka juu mpaka chini

    itakuwa vizuri kama atatafuta kazi nchi za ulaya kama ni tanzania kazi zote ni michosho tu
  5. prometheus

    Bajeti ya harusi ya gharama ndogo

    ukiwa na milioni hamsini itakuwa vizuri sana na huku akiishi maisha ya kupanga
  6. prometheus

    Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    kazi sana tunashukuru kwa ushauri na tiba
  7. prometheus

    Naomba kujuzwa taratibu za kushtaki mtu unayemdai fedha

    polisi hawashughuliki na kesi za madai nenda mahakamani ndio sehemu ya kesi za madai
  8. prometheus

    Natafuta nyumba ndogo

    anashida huyu mwanamke aliolewa na mwanaume kichaa asiyejitambua
  9. prometheus

    Natafuta nyumba ndogo

    wewe huna akili sijui ulimpataje huyo mwanamke
  10. prometheus

    Ajira za uhamiaji

    wewe mtoto wa kigogo wewe una hela wewe una ndugu wa uhamiaji kama huna yote haya subili kama utapata kazi
  11. prometheus

    Walimu tusikubalia taaluma yetu kuitwa wito

    Polisi ualimu magereza uhamiaji jwtz zima moto secta ya afya hizi ni kazi za wito kama unaona siyo wito kajaribu halafu utuambie kamshahara kadogo kazi kubwa kama nini
  12. prometheus

    Mwanaume bila kazi nyumbani:

    ni kukosa akili tu mbona kuna wanawake wameolewa na hawana kazi wanakula na kulala lakini husikii mwanaume akimsema mwanamke ndio tatizo la kuoa mwanamke mfanyakazi kazi ikiisha huna chako
  13. prometheus

    Mfumo wa vyeo vya jeshi la magereza tanzania toka juu mpaka chini

    kwa nini usiende tu gereza lolote ukaulize watakupa na ushauri mzuri na ukiwaambiwa kuwa mimi polisi sipendi jwtz napo pagumu ila magereza parahisi na napapenda nimekuja kuuliza vyeo vyenu unaweza pata offer ukawa hata mkuu wa gereza na usiende hata mafunzo hadi raha
  14. prometheus

    Msaada kuhusu dish

    uliona offer ila ikigoma inakuwa majanga sungenunua tu hapahapa tu maana ni 149000 tu
Back
Top Bottom