kaupendea nini uaskari wa mshahara wa 80 penshion ya milion nane kwa muda wa miaka 45 si bora abaki kuwa mwalimu wizara ambayo inatumia sheria za mkoloni na hawataki kurekebisha wizara kwa taarifa ya wizara ya kambi ya upinzani
jamani nasikia tanzania ni ya pili kwa rushwa kati ya nchi tano za ukanda wetu je ni wizara gani inaongoza kwa rushwa na kwa nini zanzibar rushwa ni hamna si kama huku
mleta mada hujui chochote na hufai kuongea mbele ya jamii
chombo cha dola mpaka kimjulishe nani acheni siasa za mavi ni heri wewe wa ccm ulifaa upigwe sana ili ujifunze zaidi kuwa utii bila shuruti umefanya kosa umbembelezwe nani kakuambia jeshini kuna porite language jeshi la wapi umewahi...
Polisi ualimu magereza uhamiaji jwtz zima moto secta ya afya hizi ni kazi za wito kama unaona siyo wito kajaribu halafu utuambie kamshahara kadogo kazi kubwa kama nini
ni kukosa akili tu mbona kuna wanawake wameolewa na hawana kazi wanakula na kulala lakini husikii mwanaume akimsema mwanamke ndio tatizo la kuoa mwanamke mfanyakazi kazi ikiisha huna chako
kwa nini usiende tu gereza lolote ukaulize watakupa na ushauri mzuri na ukiwaambiwa kuwa mimi polisi sipendi jwtz napo pagumu ila magereza parahisi na napapenda nimekuja kuuliza vyeo vyenu unaweza pata offer ukawa hata mkuu wa gereza na usiende hata mafunzo hadi raha
Wewe ndio hujui uhamiaji ni idara iliyoko katika wizara ya mambo ya ndani na haina chuo cha kufundishia vyuo vyake vinapatikana katika vyuo vifuatavyo
1.chuo cha ccp
hapa wanapiga wote kozi ya ujumla isipokuwa vipindi vya darasani vinatofautiana tu ila vipindi vyote vya mazoezi ni vile vile mud...
Hayatuhusu sisi kama unajua taaluma ya utangazaji nenda katangaze kwanza wewe ndio hufai kabisa kazi kukosoa watu wakati hata wewe hujui
neno: uchambuzi waandika uchambuyi kama umeshindwa kuandika neno uchambuzi si afadhali mtoto wa darasa la kwanza
kama unaona wameajili watu wasio na vigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.