Recent content by Ngalikivembu

  1. Ngalikivembu

    Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

    Hela za ndotoni hizi. Laini ya Nani hiyo ipokee hiyo hela? Na sio mtumiaji wa miamala. Mwamposa bhana
  2. Ngalikivembu

    Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

    Angalia vizuri takwimu zako wewe. Soma barua ya 25. November. 2020. Nani alikuwa Rais?
  3. Ngalikivembu

    Safari yangu ya Dar-Njombe-Iringa-Dodoma-Tabora-Kigoma-Kasulu-Kibondo-Nyakanazi-Kahama-Singida-Dom-Dar

    Kwanza hongera kwa safari ya kuona ukubwa wa nchi. Watanzania wengi kutembea wanaona kama wanapoteza hela. Ndio maana maswali Yao niende Serengeti kufanya nini? Kumwona Simba tu? Ananisaidia nini? Wapo wengi watanzania hawaijui nchi hii. Anafika sehemu kwa sababu ametumwa kikazi. Yeye mwenyewe...
  4. Ngalikivembu

    HESLB inawaumiza Watanzania; kwa haya madudu mnamwangusha Rais

    BODI YA MIKOPO YAZIDI KUWAKANDAMIZA WATANZANIA MASKINI: RAIS WETU TUSAIDIE KATIKA HILI Anaandika Justus Mbawala, 0753 917802 (Copy And Paste) Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna alivyoweza kusikiliza kilio cha muda mrefu...
  5. Ngalikivembu

    Nini maoni yako baada ya Malissa kuacha siasa za kiharakati na kuwa fundraiser?

    Kichwa cha habari na contents ulizoziandika ndani haziendani. Hakuna sehemu hata moja uliyoonyesha kuwa anafanya fundraising na kuacha siasa. Kuacha kupinga haina maana ameacha siasa.
  6. Ngalikivembu

    Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Are we serious that ,Mr President shall win this battle? Who knows him in the World? May be if it could be hosted by our NEC, surely the victory could be 100 percent
  7. Ngalikivembu

    Miaka 500 yatimia tangu Kanisa Katoliki kumtenga Martin Luther, mwanzilishi wa Kanisa la Kilutheri

    Leo tunatimiza miaka 500 tangu Kanisa Katoliki lilipotoa waraka wa Kipapa wa kumfukuza aliyekuwa padre wake Martin Luther Januari 3, 1521. Papa alifikia uamuzi huo baada ya miaka minne ya minyukano kati ya kanisa na Luther. Luther alikuwa padre na mtawa wa kanisa katoliki kupitia shirika la...
  8. Ngalikivembu

    Uchaguzi 2020 Waraka kwa watumishi wa Umma kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Umeongea vyema sana. Itashangaza sana safari hii watumishi wakifanya majaribio ya kudhania kuwa Magufuli atawapa mishahara yao. Hilo wasahau.
  9. Ngalikivembu

    Nyongeza ya mishahara hakuna, najenga Nchi

    Itashangaza sana kwenye uchaguzi huu kama kuna mtumishi anaipa CCM kura. Tumeshamuona huyu mtu jinsi alivyotutesa na kutuhadaa. Ana majibu ya hovyo kwa watumishi sana. Kura yako mwaka huu ni ya thamani sana. Watumishi acheni mazoea ya kupiga kura kwa CCM.
  10. Ngalikivembu

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi ina 'double standards' kwenye kusimamia ratiba ya kampeni kwa wagombea

    Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa ratiba hiyo kwa upande wa CCM na mgombea wake. NEC inaonesha kuigwaya CCM na mgombea wake. Mara...
  11. Ngalikivembu

    Lissu achana na stori za risasi, panga hoja zako utawafanyia nini Watanzania

    Usijifanye kupotezea issue kubwa Kama hiyo. Kama Umetumwa Wasalimie. Lazima aseme. He survived to tell the tale
  12. Ngalikivembu

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Wanapata hasara na tayari wana wateja sasa. Ilikuwa kuvutia wateja ebooo
  13. Ngalikivembu

    Kukamatwa kwa Sheikh Ponda na fursa ya kuwaunganisha Waislamu

    KUKAMATWA SHEIKH PONDA NA FURSA YA KUWAUNGANISHA WAISLAMU NA KUWAPAMBANUA NA KUWATENGANISHA WANAFIKI WASALITI NA WAZANDIKI Dkt. Abdillah Sambalaa Masomoni Uganda. Niwape moyo ndugu zangu waislamu wa Tanzania wenzangu hasa wale wenye mrengo wa kuupenda uislamu wao katika nyanja zote katika...
Back
Top Bottom