Kwanza hongera kwa safari ya kuona ukubwa wa nchi.
Watanzania wengi kutembea wanaona kama wanapoteza hela. Ndio maana maswali Yao niende Serengeti kufanya nini? Kumwona Simba tu? Ananisaidia nini?
Wapo wengi watanzania hawaijui nchi hii. Anafika sehemu kwa sababu ametumwa kikazi. Yeye mwenyewe...
BODI YA MIKOPO YAZIDI KUWAKANDAMIZA WATANZANIA MASKINI: RAIS WETU TUSAIDIE KATIKA HILI
Anaandika Justus Mbawala, 0753 917802 (Copy And Paste)
Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna alivyoweza kusikiliza kilio cha muda mrefu...
Kichwa cha habari na contents ulizoziandika ndani haziendani. Hakuna sehemu hata moja uliyoonyesha kuwa anafanya fundraising na kuacha siasa. Kuacha kupinga haina maana ameacha siasa.
Are we serious that ,Mr President shall win this battle? Who knows him in the World? May be if it could be hosted by our NEC, surely the victory could be 100 percent
Leo tunatimiza miaka 500 tangu Kanisa Katoliki lilipotoa waraka wa Kipapa wa kumfukuza aliyekuwa padre wake Martin Luther Januari 3, 1521. Papa alifikia uamuzi huo baada ya miaka minne ya minyukano kati ya kanisa na Luther. Luther alikuwa padre na mtawa wa kanisa katoliki kupitia shirika la...
Itashangaza sana kwenye uchaguzi huu kama kuna mtumishi anaipa CCM kura. Tumeshamuona huyu mtu jinsi alivyotutesa na kutuhadaa. Ana majibu ya hovyo kwa watumishi sana. Kura yako mwaka huu ni ya thamani sana. Watumishi acheni mazoea ya kupiga kura kwa CCM.
Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa ratiba hiyo kwa upande wa CCM na mgombea wake. NEC inaonesha kuigwaya CCM na mgombea wake.
Mara...
KUKAMATWA SHEIKH PONDA NA FURSA YA KUWAUNGANISHA WAISLAMU NA KUWAPAMBANUA NA KUWATENGANISHA WANAFIKI WASALITI NA WAZANDIKI
Dkt. Abdillah Sambalaa
Masomoni Uganda.
Niwape moyo ndugu zangu waislamu wa Tanzania wenzangu hasa wale wenye mrengo wa kuupenda uislamu wao katika nyanja zote katika...
Rev. Prof. Charles Nyamiti was born in 1931, among three brothers and four sisters, to Mzee Theophilus Chambi Chambigulu and Mama Helen Nyasolo, (both Late) belonging to the Wanyamwezi of Tanzania.
Prof. C. Nyamiti was ordained a Catholic priest in 1962. His vocation to priesthood remains the...
Mimi niliyepata kumsikia jaji Musa kwenye baraza maarufu Kigoma meza ya duara, miaka miwili iliyopita, alieleza mengi zaidi ya haya. Mengine yanatisha. Nae alipata kusema angeendelea kuhudumu angekuwa jaji mkuu. Umeeleza sahihi japo hujamaliza yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu maliza stori yote ya huyu jaji. Kuna mengi umeyaacha. Mimi ni mdogo nashindwa kuyadurusu yote. Ila miaka miwili iliyopita nilikutana na huyu jaji Kigoma, alipata kusimulia mengi sana hadi kufikia kujiuzulu nafasi yake. Kuna vitisho vingi alipata kwenye utawala wa mwalimu. Natamani maandishi...
Na Ahmed Rajab
TWAYIB! Imeingia Ramadhani na tupo barazani. Sijui kwanini Ramadhani hii inanikumbusha ya 1964 mwaka ulioiweka njia panda historia ya Zanzibar. Mapinduzi yalikuwa bado mabichi, hayakutimu hata mwezi, ulipoandama mwezi wa mfungo wa Ramadhani.
Sizisahau siku hizo za mwanzomwanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.