Recent content by NetworkEngineer

  1. NetworkEngineer

    Ushauri kuhusu Mabati ya Taishan, Kinglion na Sunbank

    Habari, Naomba kujua aliyewahi kutumia mabati ya kampuni hizo ubora wake ukoje, kwa eneo nililopo ndio bati zinazopatikana madukani sasa sijajua naenda wapi, ALAF najua wako bora ila bei yaoo inaniogopesha.
  2. NetworkEngineer

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Sasa mtu wa IT CPA ya nini tena..CPA wahasibu inawahusu
  3. NetworkEngineer

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    TUfanye. Hivi..hii ni kwa university employee aliyepanda daraja moja..ICT 1 PGSS8
  4. NetworkEngineer

    OSHA ni Idara, Wakala au Mamlaka?

    OSHA ni mamlaka na sio wakala...
  5. NetworkEngineer

    Kampuni za mabati za kuziogopa

    Asante kwa ushauri
  6. NetworkEngineer

    Screen size za simu

    Simu kuwa compact inatakiwa iweje
  7. NetworkEngineer

    Kampuni za mabati za kuziogopa

    Nakaribia hatua ya uezekaji, ila uwezo wa kununua ALAF naona sina, kuna mabat mengi yanatangazwa kama Dragon, Taishan, sunbank, Kinglion, Mabati Bomba, Kiboko etc..ni Kampuni gani angalau ina bati angalau bora..Naogopa yasinikute kama hayo.
  8. NetworkEngineer

    Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Shukrani sana Kiongozi angalau naanza kupata matumaini
  9. NetworkEngineer

    Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Pole sana ila nimecheka sana navuta picha ulivokuwa unahangaika na majeneza
  10. NetworkEngineer

    Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Wazo zuri , ni mwendo wa kupiga swala tuu
Back
Top Bottom