Recent content by Mwalihehe

  1. M

    SI KWELI Video inayomuonesha mwanaume akichapwa Zanzibar ni ya Ramadhani ya mwaka huu 2024

    Inawezekana kukawa na matukio mengi ya unyanyasaji huko Zanzibar ila ilikuwa ngumu kujua kutokana na kutokuwepo na mitandao ya kijamii wakati huo. Sasa mitandao ya kijamii inaanika na kuweka ukweli hadharani ili kurekebisha tabia za ubagudhi. Tutajua mengi yaliyojificha.
  2. M

    Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Uongozi wa Selikari ya Zanzibar unatakiwa uangalie Kwa makini jambo hili, maana laweza kuleta matatizo baadae. Tabia hupandwa na kukuwa Kwa kiwango Cha ajabu maana wataona hawakemewi na kujiona wako sahihi. Mwisho wa siku, itakujatokea siku ya ijumaa watu wakavamiwa kwa Nini wanatembea mitaani...
  3. M

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    MIMI NAFAA KABISA NAFASI HIYO. Mwambie Mama anipe nafasi hiyo nimuonyeshe utendaji kazi makini.
  4. M

    Tetesi: Hospitali ya Ipamba wagonjwa na wauguzi hupotea tu

    Nimesoma Tosamaganga miaka sita yaani kutoka kidato Cha kwanza mpaka Cha sita sijawahi sikia hilo. Na tulikuwa tunauguzana yaani classmate wako akiumwa tunapeana zamu alafu full kuzurula USIKU magengeni, ila sijawahi sikia ama kuona hili usemalo. [emoji23][emoji23][emoji23] Mtoa mada toa fact za...
  5. M

    Kumbe kuna salamu maalumu ukikutana na mtu usiku mzito? Usiku wa leo mbio ndiyo zimeniokoa

    USIKU jibu ni MCHANA. Pia kunausemi mwingine " KWEUSI jibu: KWEUPE". "KWEUPE Jibu: KWEUPE". Hayo yote yana maana kujua kama wote ni watu salama. Ingawa vijijini ndio maneno hayo yanatumika sana.
  6. M

    Je, mnara wa 5G utasoma leo?

    Leo yanga anakutana na namungo. Swali hao wachezaji ambao hawapo kwenye kikosi leo, haitakuwa majanga kama yaliyo wakuta Simba Morogoro?
  7. M

    Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

    Duuu! Walisema wafanyakazi hawataondolewa, na wataendelea na kazi, hivyo HAKI zao kulindwa. Sasa vipi tena? [emoji134][emoji54][emoji134][emoji54][emoji134][emoji54]
  8. M

    Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

    Mruhusu aowe mke mwingine na wewe akuache, maana unalalamika majukumu ambayo niyakwako. Upo tayari atafute mwanamke mwingine?
  9. M

    Sehemu gani niende kwa ajili ya kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu?

    Sehemu nzuri ni Kwa wazazi wako. Hivyo nenda Kwa wazazi wako kafurahi nao pamoja nyumbani.
  10. M

    Kumkutanisha Naibu waziri Mkuu na maandamano yasiyomuhusu ni uzembe wa Kamati ya Ulinzi ya mkoa

    Kimsingi jambo lilofanyika la kumpitisha Naibu PM kwenye Barbara iliyo na waandamanaji ni kosa kubwa sana. Maana walihatalisha usalama wa kiongozi husika. Hili jambo kama walipanga kufanya hivyo basi kamati ya usalama wa mkoa wajitafakari sana. Hivyo, Kwa ushauri siku nyingine wanapo panga...
  11. M

    Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

    Jambo hili sio jema kabisa. Hapo hata jamaa aombe MSAMAHA Bado dada maumivu yatakuwepo
  12. M

    Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

    Yaani mtu badala atumie NGUVU alizo nazo kujitafutia kipato, anawaza Imani za wengine. Kwa ujumla aliyefanya hivyo ukute ni masikini tu, anatumwa Kwa mihemko ya kidini. Hapo sawa na kuinyooshea kidole familia ya mtu mwingine kwamba Kwanini wanakula ugali badala ya wali. Anyway, Kanisa katoliki...
  13. M

    Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Nimejifunza na Mimi KUHUSU obora wa bidhaa hizi
Back
Top Bottom