Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,686
- 13,052
HBD in advance once again 🎉Sawa, Nashukuru mkuu. Everything is noted.
HBD in advance once again 🎉Sawa, Nashukuru mkuu. Everything is noted.
Wee jamaa unadhani wooote humu mazombie? Eti umeomba ruhusa kazini nikasherehekee siku yangu ya kuzaliwa na nimepewa! Fikra zako! Umasikini/utajiri wako! Nachelea kusema kwa fikra hizi wewe ni masikini huna pa kwenda!Natumaini wote nyie ni wazima,
Well, naombeni mawazo yenu kwenye changamoto yangu hii ndogo, next week natarajia kuwa na kumbukizi yangu ya siku ya kuzaliwa
Nilipanga niende Zanzibar ila hii weekend nimewaza nikaona hakuna sababu ya kurudi kule na nilienda tu December hapo. Sasa basi, naombeni mawazo ni wapi unadhani ungeweza suggest mtu aende akatulize akili na kufurahia kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.
Mimi niko Morogoro saivi ila i am ready to travel na mzigo upo, ni kwamba tu i am stacked, sijui where to go.?
Ruhusa nishapata kazini na pengine ningekuwa i am decided on where to be, ningekuwa nishafika huko ila nipo nipo tu hapa and i fear naweza nisiende kokote, nikabaki tu kwangu all week.
Karibuni wadau, mnipe mawazo.
HakikaVijana wengi wamekosa uelekeo kwa kushindwa kuzoza na midomo yao imejaa meno wakati hata kutafuna mahindi ya kuchemcha hawawezi.
Zamani jando ilikua msaada mkubwa sana kwa watoto wetu wa kiume, na ndio maana hapakua na mambo ya kijana kuja kumtangaza mwanamke (eti anamtaka).
Wakubwa mmenielewa
Ndio maana nakukubali mwa J..😋Hakika
🤣🤣🤣Kwahiyo Kumbe mie ndiye mwaj unaenisimanga daily?Ndio maana nakukubali mwa J..😋
Nimeacha tungi kipenzi changu, imenifanya leo nimetoa siri ya ile kitu grade one 🙈🤣🤣🤣Kwahiyo Kumbe mie ndiye mwaj unaenisimanga daily?
🤣🤣🤣🤣uniacheee 🙄Nimeacha tungi kipenzi changu, imenifanya leo nimetoa siri ya ile kitu grade one 🙈
Mkuu nimetangulia Adis Ababa kujenga sanamu lakoVijana wengi wamekosa uelekeo kwa kushindwa kuzoza na midomo yao imejaa meno wakati hata kutafuna mahindi ya kuchemcha hawawezi.
Zamani jando ilikua msaada mkubwa sana kwa watoto wetu wa kiume, na ndio maana hapakua na mambo ya kijana kuja kumtangaza mwanamke (eti anamtaka).
Wakubwa mmenielewa
Wewe nae hasira zote hizo za nini na ndo kwanza mwisho wa mwezi umeanza..?Wee jamaa unadhani wooote humu mazombie? Eti umeomba ruhusa kazini nikasherehekee siku yangu ya kuzaliwa na nimepewa! Fikra zako! Umasikini/utajiri wako! Nachelea kusema kwa fikra hizi wewe ni masikini huna pa kwenda!
Toa suggestion mkuuHapa kuna msako mkali unaendeshwa kimya kimya
Amen...Mkuu nimetangulia Adis Ababa kujenga sanamu lako
Punda wa kavu wakavu au pundamilia?Birthday?Nenda kaangalie punda Mikumi.Ukirudi nenda kwa wahitaji/masikini uwape zawadi wafurahie nawe "bedidei yako ya kuzaliwa"!
Zamia maranguToa suggestion mkuu
Miaka inasonga uzee unamtafuta na kifo kinamkaribia (ceteris peribus) anatakiwa apate maeneo ya kuhuzunisha na sio kufurahisha, namshauri aende Israel. Mimi binafsi huwa nalia siku nzima nikisikitika kuongeza umriUnaweza kwenda sehemu yoyote ili kupata Exposure ya maeneo mfano ukaja DSM kigamboni zipk sehemu za kutuliza Akili zenye mpangilio mzuri Sana.
Ila kikubwa siku yako ya kuzaliwa igawe Mara mbili Ahsubui tembelea kituo chochote cha watoto yatima utoe sadaka au chochote ,
Then jioni fanya kufurahia kwa kushukuru Mungu na kula na kunywa
Make a difference and God will reward to you more success .