AiseeeeUliingia kwenye ndoa kupiga stori??!
Tulia upelekewe moto
Maisha Haya Bhana Kuna Wanawake Wengine Wanalia Wanaume Hawapelekei Moto, Huyu Naye Analalamika Mume Anampelekea Moto Muda Wote. KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO.
Itakuwa ni kislay kwin hiki wale wachezea simu muda wote.Uliolewa ili iweje km hautaki kusex na mumeo?
Sijajua jamaa amekuzidi umri kiasi gani ila kama ni zaidi ya miaka 10 hali ndio hua inakua hivyo. Mwanaume kama kakuzidi sana manake anakua anakuona kama mtoto hakuna stori anayoweza kupiga na wewe. Mambo anayotaka kuongea yeye wewe hautayaelewa na wewe mambo unayotaka kuongea yeye hawezi kukuelewa.Habari wana Jamii,
Na qtpitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
😅😅😅 huyu si mimi.Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.
Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Ni nani 🤣😅😅😅 huyu si mimi.
Mwanaume mmbeya mimi 😅😅Ni nani 🤣
Hahahahahaha..utakua mtamu + utundu × utundu = ..Muda woteHabari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Kuna wakati sielewagi wanawake wanataka nini kwa wanaume..!!!Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Umeanza ujinga sasa,,,,we unataka muongee nini tena? Hayo ya kumwambia si useme mkiwa mnahemeana....!! Acha hayo mambo utaharibu nyumba yako kwa mikono yako mwneyeweHabari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
🚠Nothing possibly 🤣Ila wakina mama wako hivyo. Watu wa hisia. Tatizo unaishi nawo kivipi?! Moto sana issue, usipopeleka moto issue, wanaume kazi tunayo...
Wengi wao romance, wengine moto Kwa sana!
Tutaelewana tu....🥀😜
Mnataka Kuongea Nini Hasa
msjukuru mungu ana nguvu za kiume za kutosha na wewe ni mtamu la sivyo asingekuwa ana tak sexHabari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Mruhusu aowe mke mwingine na wewe akuache, maana unalalamika majukumu ambayo niyakwako. Upo tayari atafute mwanamke mwingine?Habari wana Jamii,