Recent content by Mtu-Pori

  1. Mtu-Pori

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Achana na za Singapore. Wale watu si wazuri. Wataipiga rangi utaona gari umepata. Ikija huku hakuna rangi utaacha kuona.
  2. Mtu-Pori

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Mie ni mpenzi sana wa sedans na nilipanga nikibadili gari basi nihamie Mazda Atenza. Changamoto imekuja kwenye makazi ya kudumu. Umbali wa kutoka nyumbani (rough road) ni 7km (return) hadi kufika barabara ya lami. Barabara si rafiki kwa sedans au hatchback/station wagons. Nilibadili uamuzi...
  3. Mtu-Pori

    Kisa cha maiti ya Anna Fritz na vifo vya wanaume waliombaka

    Hii hapana. Ingawa mie ni mtazamaji mzuri wa horror movies ila nimeegemea zaidi za Marekani.
  4. Mtu-Pori

    Kisa cha maiti ya Anna Fritz na vifo vya wanaume waliombaka

    Image ya kwanza juu kidogo ifanane na ya 'Jane Doe', mhusika maiti kwenye filamu ya kutisha iitwayo 'The Autopsy of Jane Doe (2016)'. Weka mbali na watoto.
  5. Mtu-Pori

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    I have a friend ambaye mwaka jana alikuwa anataka gari. Nikamuelekeza aangalie kwenye site ya Be Forward. Alipata gari atakayo ila ikawa ni ya Singapore (huwa zimeandikwa THIRD PARTY SELLER). Nikamwambia aachane na ya Singapore. Akapata nyingine ya Japan na nikamuelekeza aende kwenye ofisi za...
  6. Mtu-Pori

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Kwani hayo magari yaliyo yard huwa yanatoka wapi?
  7. Mtu-Pori

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Kwani hayo magari yaliyo yard huwa yanatoka wapi?
  8. Mtu-Pori

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Ungekuwa umepekua vizuri humu ungepata kujua kuwa kwa magari ya kutoka Singapore, huwa hakuna mkaguzi. Yale magari huwa yanakuja hivyo hivyo. Na ishasemwa humu gari za Singapore body huwa zuri. Wahuni sana wale. Ila injini na gearbox huwa shida. Kingine ni kwamba kwa zile gari za Singapore...
  9. Mtu-Pori

    Siamini kama nimepatwa na kukoroma

    Niliwahi kuwa na girlfriend ambaye aliwahi kunichana kuwa hawezi kuwa/kulala na mtu anayekoroma. Mie niliwahi kuambiwa mara kadhaa kuwa sometimes ninakoroma usiku. Siku ya siku tukalala pamoja na huyo girlfriend........aisee sikuamini kuwa ni yeye aliyesema hawezi lala na mtu anayekoroma maana...
  10. Mtu-Pori

    Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Huyu jamaa nilikutana naye mwaka jana Lake Oil petrol station pale Tabata njia panda ya kwenda Segerea/Kimanga. Akanipa story hiyohiyo ya kuwa ni mwl alitumbuliwa na sasa kapata kazi na anatakiwa kuripoti kazini siku inayofuata. Muda huo nilikuwa nimetoka kujaza mafuta kwenye gari. Ilikuwa saa...
  11. Mtu-Pori

    DOKEZO Barabara ya Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe ni mbovu sana, Wananchi tunateseka jamani

    Hiyo barabara ilikuwa ijengwe kwa lami kuendeleza ile barabara ya Mbezi Kinyerezi. Kilichotokea sasa..... lami imepelekwa Kibamba Chama kwenda Kibwegere.
  12. Mtu-Pori

    Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

    Wanawake wengi hucheza kitu tunaita 'victim card'. Hata mke wa mtu akijitongozesha kwako, atasema yeye ni mhanga wa mambo fulani ili umuonee huruma. Ndio hawa watoto sasa. Kuna matukio makubwa tu. Kuna mwanafunzi (KE) aliwahi kuingia kwenye gari ya mhadhiri aende nae kwake akapewe mambo...
  13. Mtu-Pori

    Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

    Hata sihangaiki nao. Hawa wanafunzi wanapenda 'kiki'. Ukitoka naye, huwa wanatangaza. Yakifika kwenye management, kamati huundwa kuchunguza. Ukibainika, kazi huna. Wahadhiri wengi tu wamefutwa kazi kwa sababu ya haya masuala (violation of code of conduct).
Back
Top Bottom