Recent content by Mseriandy

  1. Mseriandy

    Pongezi sana kwa Mh. W. Lukuvi katika masuala ya ardhi

    Ni Kweli Kigamboni vigogo walichukua viwanja vingi sana. Tatizo hili lipo Katika Halimashauri nyingi sana
  2. Mseriandy

    Pongezi sana kwa Mh. W. Lukuvi katika masuala ya ardhi

    Mnyonge Mnyongeni, haki yake mpeni. Mtu akijitahidi bwana sifa yake mpeni, acheni uchoyo. Wanyonge wamesaidika maana migogoro ya ardhi inatatuliwa bila rushwa. Pia ardhi ambayo haijaendelezwa, itarudishwa wizarani iwe landbank ya serikali. Pia wananchi wameambiwa wajiandikishe wakapewe...
  3. Mseriandy

    Pongezi sana kwa Mh. W. Lukuvi katika masuala ya ardhi

    Nikiwa kama Mtanzania mzalendo, nampongeza Mh. Lukuvi katika ardhi.. Haijawahi kutokea Waziri katika Wizara ya ardhi na Makazi kama Mh. Lukuvi. Waziri katika RADIO ONE DAKIKA 45 ameongelea makosa mengi na mbinu mbali mbali wanazotumia watendaji. Baadhi ya maafisa ardhi wasio waaminifu na...
  4. Mseriandy

    Business Opportunity - Hunting Safaris

    Travel Agent from Russia looking for Hunting safari packages 7 days Package 14 days Package 21 days Package All inclusive Am a Business Development Expert and Online Marketing Expert. The Travel Agent is interested to work with Local Hunting companies with its own Hunting safari License...
  5. Mseriandy

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuandika Mou ni muhimu katika kuanzisha kampuni?
  6. Mseriandy

    Zipi taratibu za kuanzisha NGO na kuandikisha itambulike?

    Mou na articles of association ni shs ngapi kuandika?
  7. Mseriandy

    Google Adsense, how does it work

    Ok, thanks Nyasiro. How to install google codes kwenye blog?
  8. Mseriandy

    JIBU FINANCIAL SERVICES arusha

    Jibu Financial Services iko sehemu gani Kijenge, Naomba mwenye anuani na namba zao. Nataka nikakope Kati ya 500,000 na million moja.
  9. Mseriandy

    Google Adsense, how does it work

    naomba kujua hawa watu wenye mablog au website jinsi wanavyoweza kufaidi na Google adsense. Kama mtu ana website yenye google PR 2, PR 3 and PR 4, je anawezaje kugenerate income through google adsense.
  10. Mseriandy

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sole propietaship ni nini? Partnership ni nini? Ltd ni nini Je baada ya kukubaliwa Jina na BRELA, hatua gani inafuata? MOU and Association of artcles inatakiwa katika hatua gani? Kuandikisha kampuni ya Utalii (tour Operator) au Travel Agent ni hatua zipi? Je kuandikisha NGO ni same process...
  11. Mseriandy

    Zipi taratibu za kuanzisha NGO na kuandikisha itambulike?

    Nina wazo la kuanzisha NGO ya mazingira. Nataka ifanye kazi wilaya moja, baadae mkoa mzima. Vipi taratibu ni zipi? Unaandikishaje kwa serikali ili kupata kibali?
  12. Mseriandy

    MOU and Articles of Association

    Poa, niunganishe nae. Pia nipe bei na itachukua muda gani
  13. Mseriandy

    Subaru Forester with Turbo 4WD

    Ndugu wana JF, Wasalaam! naomba kupata ushauri kuhusu kuagiza gari Japan ama kununua mkononi kwa mtu. -SBT Japan -TRADECAR VIEW -YUASA -JAPANESE CARS Subaru Forester 4WD Forester - Turbo Used car made from 2003 onwards Mileage km not more than 100,000 kms Aina za Subaru Forester ni XT...
  14. Mseriandy

    MOU and Articles of Association

    Je kuregister NGO, utaratibu ukoje Please consultants, contact me:- mokirec2000@gmail.com
  15. Mseriandy

    Nani kama Nyerere? hakika tutamkumbuka sana huyu mzee!

    Alijenga viwanda katika kila mkoa hapa Tanzania Mwatex Mara Milk KOIL Mwanza Sunguratex ZZK MBEYA Machine tools Moshi Arusha General Tyre Kilitex EMKO Soap Maries Biscuits Peremende Ongezeeni vingine wadau Alisomesha watanzania bure kuanzia chekechea mpaka Chuo kikuu Alikataa Rushwa kwa...
Back
Top Bottom