MOU and Articles of Association

Mseriandy

Member
Mar 27, 2011
35
6
Wapi Dar es salaam naweza kupata wataalamu wa kuandika MOU & Articles of Association

Je itachukua siku ngapi mpaka kuandikisha BRELA na kupata Leseni?

Kuandika MOU & Articles of Association ni itachukua muda gani na ni Bei Gani?

Je naweza kuandika MOU na AA kwa ajili ya Kampuni moja halafu ikafanya shughuli mbali mbali kama Real estates, Tourism, Kilimo na Marketing Consultant?

Part B question:Kampuni ya Utalii

- Kwa safari operators inatakiwa kuwa na magari kadhaa ili kupewa Leseni

- Je leseni ya kupandisha mlima pekee inahitaji vigezo gani?
 
mkuu Mseriandy kuna jamaa yangu anafanya hiyo business ya kuandika hizo memprundum na kuregister business name BRELLA na kupata leseni TRA vipi nikuunganishe naye?
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona template zipo kwenye website ya brela, embu angalia utapata template just edit accordingly then you are gud to go. Anyway ukiwa hauwezi tenga bajeti ya laki tatu upate hadi certificate of incorporation na respective TIN namba za directors na ya kampuni
 
Back
Top Bottom