Mwalimu Nyerere alifanya yake kwa Wakati ule, miaka ile na kwa rasilimali zilizokiwepo Wakati ule, alijitahidi kwa uwezo wake kutokana na Wakati huo kulingana na changamoto zilizokuwepo kipindi hicho. Sasa Leo tuko Wakati mwingine na mambo yalivyokuwa kipindi chake si sawa na sasa ila CCM...
Viwanja vipi kigamboni mwisho wa project ya mji mpya. Kimoja kina ukubwa wa Ekra moja kinauzwa 32m. Kipo mita 100 toka barabara kubwa ya lami. Kingine kina ukubwa wa mita 26 kwa 37 kipo mita 300 toka bahari. Kinauzwa 15m, viwanja vyote ni tambarare na vipo ndani ya ramani ya makazi.
Mwenye...
Nachukua nafasi hii kuitambulisha kwenu tovuti mpya ya mavazi www.jsonstyle.com
Tovuti hii inakupa fursa wewe mwenye duka popote ulipo kuweka bidhaa kwenye tovuti hii na kuwapa fursa watanzania wote kuona na kuchagua bidhaa wapendayo,hii itasaidia bidhaa yako kuwafikia wateja wengi zaidi na...
Our company is currently seeking experienced sales people who can effectively sell advertising space in our magazine publications. The publications based in Tanzania and all sales should be in Tanzania, or other companies who advertise in Tanzania. The right provided would be selling advertising...
Jamani tuwe na ushirikiano na vitu kama hivi sio jambo la busara kushangilia mambo tusiyoyajua,Nakubali umiliki usio wa halali wa Menji lakini je mmefikiri mali za watanzania wengine waliokodi na kulipa kodi zao ndani ya jengo hilo,Kodi hizo zinazoendelea kusaidia serekali kwa namna moja ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.