The Best Tanzania Online Marketing Place

msendos4life

Member
Sep 23, 2010
9
1
Nachukua nafasi hii kuitambulisha kwenu tovuti mpya ya mavazi www.jsonstyle.com
Tovuti hii inakupa fursa wewe mwenye duka popote ulipo kuweka bidhaa kwenye tovuti hii na kuwapa fursa watanzania wote kuona na kuchagua bidhaa wapendayo,hii itasaidia bidhaa yako kuwafikia wateja wengi zaidi na bila kuudhuria duka lako,Pia kusaidia wasio kuwa na muda kupata bidhaa yako kupitia mchumo wa komputa.
kwa sasa huduma zote za uwekaji wa picha ni bure kwa wateja wote wa kwanza, gharama za uchukuaji picha na maelezo juu ya bidhaa unazoweka italipiwa na mwenye duka.
Ni matumaini yetu watanzania wote mtafaidika na huduma hii kwa wale msiokuwa na muda wa kuhudhulia maduka wakati wa manunuzi, Wote kwa pamoja mnakaribishwa kutembelea tovuti yetu,
kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuweka bidhaa zako unaweza tuma email kwa jmsendo@jsonstyle.com.
 
Nafanyia process this week itakuwa hewani.. ni MPESA na TIGO pesa ndio itaanza kutumiaka kwa manunuzi.. nashughulikia hilo swala mkuu.
 
Back
Top Bottom