Search results

  1. M

    Mwanasheria na Mbunge Wa Chadema Tundu Lissu Atuombe Radhi Taifa Amemdhalilisha Baba Wa Taifa!!

    Mwalimu Nyerere alifanya yake kwa Wakati ule, miaka ile na kwa rasilimali zilizokiwepo Wakati ule, alijitahidi kwa uwezo wake kutokana na Wakati huo kulingana na changamoto zilizokuwepo kipindi hicho. Sasa Leo tuko Wakati mwingine na mambo yalivyokuwa kipindi chake si sawa na sasa ila CCM...
  2. M

    Viwanja 2 Vinauzwa

    Viwanja vipi kigamboni mwisho wa project ya mji mpya. Kimoja kina ukubwa wa Ekra moja kinauzwa 32m. Kipo mita 100 toka barabara kubwa ya lami. Kingine kina ukubwa wa mita 26 kwa 37 kipo mita 300 toka bahari. Kinauzwa 15m, viwanja vyote ni tambarare na vipo ndani ya ramani ya makazi. Mwenye...
  3. M

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Du inasikitisha ila ukweli tunaujua msitufanye maboya...2015 si kesho tu habari yenu itasomeka.
  4. M

    The Best Tanzania Online Marketing Place

    Nafanyia process this week itakuwa hewani.. ni MPESA na TIGO pesa ndio itaanza kutumiaka kwa manunuzi.. nashughulikia hilo swala mkuu.
  5. M

    The Best Tanzania Online Marketing Place

    Pole kwa kuchelewa kujibu nilikuwa nje so sikuwa na wakati mzuri wa kuangalia email zetu..OK jaribu kutumia hii The Best Tanzanian Online Marketplace
  6. M

    The Best Tanzania Online Marketing Place

    Nachukua nafasi hii kuitambulisha kwenu tovuti mpya ya mavazi www.jsonstyle.com Tovuti hii inakupa fursa wewe mwenye duka popote ulipo kuweka bidhaa kwenye tovuti hii na kuwapa fursa watanzania wote kuona na kuchagua bidhaa wapendayo,hii itasaidia bidhaa yako kuwafikia wateja wengi zaidi na...
  7. M

    Sale Executive Needed

    Our company is currently seeking experienced sales people who can effectively sell advertising space in our magazine publications. The publications based in Tanzania and all sales should be in Tanzania, or other companies who advertise in Tanzania. The right provided would be selling advertising...
  8. M

    Quality Plaza yaungua?

    Jamani tuwe na ushirikiano na vitu kama hivi sio jambo la busara kushangilia mambo tusiyoyajua,Nakubali umiliki usio wa halali wa Menji lakini je mmefikiri mali za watanzania wengine waliokodi na kulipa kodi zao ndani ya jengo hilo,Kodi hizo zinazoendelea kusaidia serekali kwa namna moja ama...
Back
Top Bottom