Recent content by Michael Uledi

  1. Michael Uledi

    Biteko: Watanzania wanataka umeme, kama hakuna umeme hawatuelewi

    Ni moja ya kauli bora ya kutia matumaini ambayo haijawahi kusikika ndani ya miaka miwili ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Kauli hiyo ya Mh Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ni kama imeibua shangwe na kuenea almost kila kona ya Tanzania tangia itoke jana. Nadhani huko aliko Mh Rais...
  2. Michael Uledi

    Tetesi: UKAWA Mpya kuzaliwa, hakutakuwa na ACT

    Kwahy mnataka Ukristo dhidi ya Uislamu?aibu sana hata soni hamna? Wajinga kabisa.
  3. Michael Uledi

    Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

    Upumbavu.Kwahy?Majaliwa atabaki kuwa Majaliwa na Biteko anabaki kuwa Biteko. Acheni uzushi
  4. Michael Uledi

    Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

    Nenda kafanye kazi kaka wanao wale ugali,mwache Mama afanye kazi yake.
  5. Michael Uledi

    Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

    Wivu tuu.Aisee. Kwahy ulitaka umlinde wewe?
  6. Michael Uledi

    Kwa sera hizi CHADEMA wanachukua nchi mapema

    Kweli wewe ni Mr Sound.
  7. Michael Uledi

    Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

    Weka vzr ndugu yangu ni mkopo au ni misaada?
  8. Michael Uledi

    Wizara na Taasisi za Serikali walipaswa wamwambie Rais mipango yao ya kisekta katika kututafutia dola

    Tayari tumeingia kwenye tatizo kubwa la kiuchumi kama Nchi na tusipokuwa na maono makubwa ya jinsi ya kutoka hapo kwa kuwa na mipango ya muda mrefu na muda mfupi basi tumekwisha. Wataalam wetu wanasema tatizo la ukosefu wa USD katika Uchumi wa Tanzania ni tatizo la Nchi nyingi za Afrika.Sijajua...
  9. Michael Uledi

    Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu

    Polisi wa Pale Kitonga, Ruaha Mbuyuni na Berrier ya Iringa mpaka aibu. Wapo pale kwa ajili ya kupokea rushwa na sio kuhudumia Raia. Wakati mwingine wanalazimisha mpaka kutoa rushwa. Aibu sana Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
  10. Michael Uledi

    Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

    Umepata kigezo kimoja tu!Operations na vifaa!japo vifaa havikupi ushindi wa medani! Ni Operations + Mikakati + Nidhamu Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
  11. Michael Uledi

    Tetesi: Askofu Maximilian Machumu anatishiwa maisha kutokana na kupinga bandari kuuzwa kwa Waarabu

    Hawa hawataki uwekezaji lakini ukiwauliza tunatokaje sasa hapa poa hawana majibu.Model.gani tuende nayo tukiachana na DP World? Hakuna atakayekupa majibu.Suala la Bandari yanajafiliwa kwa maslahi ya Siasa na kumuonea huyu Mama.sababu ni mwanamke na ni Mzanzibari.Hakuna kingine. Sent from my...
  12. Michael Uledi

    Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa epuka huo mtego

    Haya ulipaswa kuwashauri wale jamaa kabla ya kuanza kutukana na kumshurutisha rais Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
  13. Michael Uledi

    Wengi wanadhani bado tuko kwenye Siasa, ikitamkwa Uhaini hakuna Siasa tena bali Mifumo Yote inaamka!

    Nakubaliana sana na wewe.hizi ID zinawapa vijana kibali cha matusi.As long as unaishi mtaani utafikiwa. Tujadiliane kwa hoja tu . Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
  14. Michael Uledi

    Hivi Mdude Nyagali ni kiumbe wa namna gani?

    Unaweza kumnyoa Amri Jeshi Mkuu wewe kwa wembe? Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom