Hivi Mdude Nyagali ni kiumbe wa namna gani?

Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.

Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.

Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi

Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"

Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.

Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
Kuna baadhi ya watu wamezaliwa automatically ni wagonjwa wa akili.Sasa ona amepewa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa.
Siasa za Africa zinahitaji uwe na extra thinking capacity katika kufanya approach yoyote.
 
Ninamlaumu Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA kwa kutomsaidia Mdude kisaikolojia na kumwacha aangamie. Mbona kina Malisa GJ na yule mtoto wa Mbowe hawapati kashkash kama za Mdude?

Jibu ni kuwa wazazi wao ambao pia ni wamiliki wa CHADEMA wanawaongoza vizuri na kuwaonya kuhusu uropokaji. Mdude kwasababu ni mtu baki ni kama wamemtoa kafara.

Anachoambulia ni hashtag ya free mdude. Kina Mnyika wao huwa hawakamatwi kwa sababu wanajua timing ya kuongea.

Mdude kama watoto wengine kutoka familia maskini wanawekwa mstari wa mbele kimakusudi na mmiliki wa CHADEMA Sultan Mbowe.
mamayenu samia nyie amewalea vizuri,kama mnamalezi mazuri kule geita mngetoa vitisho kuwa lissu asikanyage chato, mzee wasira mlezi wenu huko ccm anaakili timamu aliposema lissu azomewe chato? jiongezeni nyie makuwadi na madalali ya dpworld.
 
Kuna baadhi ya watu wamezaliwa automatically ni wagonjwa wa akili.Sasa ona amepewa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa.
Siasa za Africa zinahitaji uwe na extra thinking capacity katika kufanya approach yoyote.
Wanafanganywa sana na mashabiki wa kwenye mitandao hadi wanajoona wao ni kama Nelson Mandela au Che Guevara.
 
Tanzania tunarudi nyuma Sana. Mara ugaidi mara uhaini. Ukiuliza uhaini wenyewe Sasa, utashangaa unaambiwa mambo ya kijinga. Ila mwisho wa mafisadi wa CCM imefikia.
 
Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.

Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.

Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi

Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"

Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.

Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
Hiyo kauli " mwambieni huyo mama yenu nitamnyoa kwa wembe ule ule niliotumia kwa mtangulizi wake" Ina shida gani? Na unaweza Thibitisha kwamba anayeongelewa ni nani?
 
Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu bila makosa.

Kweli tukaanza kuona nuru mpya baada ya siku chache. Ikawa kama ni kupindua kabisa mambo ya ukatili na uuaji ambayo yalitamalaki wakati wa Magufuli.

Kesi ya Akwilina ikapinduliwa na Mahakama ya Rufaa, yule Mdude CHADEMA wa Mbozi maarufu kwa matusi naye akashinda kesi

Mara tukaanza kusikia kauli za matusi kwenye mikutano ya CHADEMA. Mfano ni ile kauli ya Mdude siku 4 tu baada ya kuachiwa alisikika akiongea Jukwaani Barracuda Tabata kuwa "Mwambieni huyo Mama yenu, nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake"

Alitamka maneno mbele ya Mbowe na viongozi wengine wa CDM na hawakumchukulia hatua mpaka leo.

Kwa mtazamo wangu Serikali imeona pengine bado hatuna busara katika kutumia uhuru wa maoni. Tunaleta matusi badala ya kutoa maoni.
Sahihi sana kaka

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kwa torturing aliyofanyiwa na wale jamaa, lazima atakuwa aliathirika kisaikolojia.
Kwa hiyo isingekuwa ajabu kumwambia Mama maneno hayo yasiyo ya kistaarabu!
 
Mr@Stuxnet njaa mbaya sana

Hata kama ni njaa haipaswi uwe mpumbavu kiasi hiki
 
Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe...
Mwambieni huyo Mama yenu, "nitamnyoa kwa wembe uleule niliotumia kumnyoa mtangulizi wake" hilo nalo ni tusi! Kama ni tusi basi vinyozi wote wakamatwe.
 
Back
Top Bottom