Recent content by mgt software

  1. mgt software

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Machawa yenyewe yameoza yananuka na mauchafu kibao . Wakionyesha uso tu wamekwisha. Sifagìlii matusi kama angetumia lugha mzuri angepata support lakini wanaomtumia wamefil saba katika hili. Lakini walimlea. Mtu anatafutwa alaf anaonekana anapiga picha ya karibu na mama? Wakati fulani ashawahi...
  2. mgt software

    Wafuasi wa chama cha Mapinduzi hasa vijana kwanini wanashindwa kukemea matusi mitandaoni? Au wapo mstari wa mbele gizani?

    Nimeshangaa saa kuona Mwamvita akiwa karibu na Sister Mange. Huko nyuma walikuwa maadui wakubwa
  3. mgt software

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Kumbe nawe humoo, yaani hapo ukuona ukweli. Mimi bidhaa zao natilia shaka FCC na TBS kama wamezipitia.
  4. mgt software

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Nilidhani rais wenu yupo makini. Kumbe nako waturuki wametinga. Huku kwetu wamekuwa mafundi selemala. Alaf wanajidai kuoa madada zetu.
  5. mgt software

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Kwanini nisiweze wakati ninafanya kazi? Haya mafeki feki ni kuharibu hela aisee
  6. mgt software

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Sometimes za uso zinatakiwa. Mtu anajua kabisa mafeki mengi yapo mitaani serikali yetu imeshindwa kuyazuia richa ya kujua wafanyabiashara waaoingiza bidhaa feki.
  7. mgt software

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Sijamaliza deni kitu kishawaka moto. Nawasubiri niwarudishie dubwasha lao. Lakini ukumbuke kama havina TBS nyumba zitaungua na lawama tutawapa tanesco.
  8. mgt software

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Sio kweli. Hii presha cooker ina miezi sita tu waya na yenyewe vina hitilafu. Kampuni sijui kama FCC na TBS wanaijua. Hivi vyombo vinapita wapi?
  9. mgt software

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Walimu na manesi ni victims. TRA wanakosa kodi. Hata hawa wanaotengeneza madrisha ya plastic nao hapana. Kazi za vioo na plastic watz wanaweza sana. Serikali fukuza machinga wakizungu wanaojidai wanaoa dada zetu
  10. mgt software

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Juzi multicooker ilitaka kuunguza nyumba na sijamaliza deni lao. Nawasubiri nikawatupie dude lao. Wakisumbua nitawaambia wakanishitaki.
  11. mgt software

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Wana JF. Si kwa nia mbaya maana waturuki wametoa ajira lakini kuna haya. Waturuki wamekuwa wakizunguka mitaani na bajaji wakikopesha vyombo mbali mbali. Msala wangu kwao ni kwamba, nani ametoa kibali cha ukaguzi wa vyombo vyao vya umeme? Kama kuna mtu wa TBS na FCC inabidi kwa pamoja...
  12. mgt software

    CAG Kichere, kwanini uwaite wastaafu Mizigo wakati hela yao ndio imesimamisha NHIF kabla kuingia viwavi jeshi kukopeshana?

    Kwako kichele CAG Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
Back
Top Bottom