wana jamii naomba msaada wenu nimejiunga na huduma ya crdb internet banking mwezi wa pili sasa lakini kila nikijaribu kufanya malipo au transaction yoyote online inakataa na inapokea taarifa ya authorization failed,sasa cjajua tatizo ni nini
habari zenu wadau,naomba msaada wenu wakuu nimejiunga na crdb internet banking huu mwezi wa 3 sasa ila kila nikijalibu kufanya malipo online yanagoma ninachoambiwa ni, authorization failed, naombeni mnisaidie kunielimisha ktk ilo, maana kama ni helo ktk account kuna hela ya kutosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.