Recent content by Meruone

  1. M

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Mm nilikuwa nachagua magari yote yenye matairi meusi! So nikajikuta magari karibu yote ni yangu.
  2. M

    Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

    Neno pretty maana yk ni 'zuri'(muonekano/sura) ni kisifa hasa -a kike. Mf. Pretty girl. Je ww ni mzuri kisura/kimwonekano au ndio walewale? Attach photo yk hapo tujue kama "pretty" linakufaa
  3. M

    Difference between complete and finish

    Yeah! Kuna tofauti kati ya complete and finish. Hata kwa kiswahili yapo. COMPLETE:-maliza/ kamilisha FINISH:-isha/kwisha
  4. M

    swali tata

    Mungu ni HE kwa mujibu wa biblia. Inasema kuwa mungu ni baba haijaandikwa mungu ni mama, mungu ni bwana wa mabwana, mume wa wajane, ni mfalme haijaandikwa mungu ni malkia. Kumbuka kuwa neno MUNGU siyo jina lake bali ni sifa yake(MUUMBAJI). Jina lake hasa ni JEHOVA na akiwa duniani aliitwa...
  5. M

    Balali yuko HAI - He is not dead

    Balali hajafa alifichwa tu kuepusha vita nchini kwa kuwa mtu mzima ilihusika na angeshikwa pabaya. Huo msiba gani hata ndg wa kuzaliwa walinyimwa kuhudhuria? Tena kiongozi mkubwa kama yy azikwe tz wasione hata kwny tv? Anakufa msanii tu watu wote tunaona sembuse balal! Acheni zn ndg walipewa...
  6. M

    Hebu soma ufunguke - mji huu unatisha sasa

    Ndio maana ya kuitwa bongo! Watu wanakula kwa kutumia ubongo sasa ww ukitumia tope badala ya akili utaliwa hata ningekuwa mm. Alafu kaeni mkijua kuwa kila mtu bongo ni mwizi ni kwakuwa hatujapata nafasi au vitengo na wengine arobaini zao hazijafika. Ashukuru mungu hajafa. So take care guys.
  7. M

    Ungeuaje soo hili!

    Haaaa! Wee kijembee ungeshtukiwa na mkeo. Kondoo kauzwa lini dukani? Na muuzaji angekushangaa mwisho wa ck mkeo angeuliza kuna nini hapa? Mwenye duka angemwambia unataka kuuziwa kondoo humu dukani!
  8. M

    Omo na Foma

    Nakubaliana na ww mkonomtupu haulambwi!! Huyo mwl ni ccm huwa hawajitambui. Majibu yao mepesi kwa maswali ya msingi.
  9. M

    Kumbe kufufuka ni noma!

    Basi hata ww ni wakukimbiwa coz huenda una tabia za kisukule!
  10. M

    Duu hawa Panya...........balaaaa!

    Hata waislam wa kipindi hiki cha kikwete wanakula sn sasa hao panya labda hawakuwa na apetait tu. Hicho kitu kitamu balaaaa!
  11. M

    Ni upi wimbo wako wa siku?

    Hakuna k2 kibaya sana duniani kama shida.
  12. M

    huchelei kulia na kucheka papo hapo!

    Mungu ambariki sn huyo jamaa aliyemchukuwa kwa moyo huo mzuri. Ila hao ndg zke sio wazuri.
  13. M

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    God bless u all mliotoa elimu hiyo
  14. M

    Nipokeeni mie mgeni... Kwetu singidaaaa

    Kaibu sana msingida kwan ww ni mrengo wa kushoto au kulia? Faili lako halina virus?
  15. M

    Usicheze na damu ya mtu! Kazi ya kuwapata wauaji wa Kamanda Barlow yawa rahisi kuliko ...........

    Usihamishie siasani wakiiona huko wenye nchi yao watktafuta
Back
Top Bottom