Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,780
Kuliko ilivyotegemewa!
Sie tuliopo Mwz tumeshapata mengi yathibitishayo wahusika.
Kama mlivyoona kwenye gazeti la leo la Mwananchi kua , kwamba visasi vya mapenzi vyahusika.
Ndivyo ilivyo, nachelea kwa sasa kuyatiririsha kama yalivyo, kwa ku'refar ile kanuni "issue bado iko kwenye mihimili "
Btw kwa hints ni kwamba mchezaji wa zamani wa Dar Young African na Taifa, Fumo Felician yuko under interrogation, ingawa yeye si muhusika but nduguye yasemekana ndiyo muhusika, na ndiyo aliyezaa na Ticha Dorothy.
Aidha kama inavyosomeka kwenye gazeti la Mwananchi , kua baadhi ya majirani wa Mwl waliohojiwa na wakadai wakimfahamu huyo ndgye former player ndiyo walikua wakimtambua kama Baba mwenye banga.
That's why hizi bado ni allegation, ambazo kimaono zinakaribia sana kwenye uhalisia wa tukio.
Aidha muhusika mkuu tayari ashakamatwa akiwa Dar, na tayari ashaletwa Mwz.
My take :
Nina imani shughuli ya kuwapata wahusika within a week itakua imeeleweka!
Damu ya binadamu si kitu cha kucheza nacho.