Karibu wa Singapoo!
Tutafutie na Umm Kulthum amepotea nae ni wa hano'hano!
Karibu stressfree! Hapa UNA-RIRAX ARAFU UNASOMA!
Karibu sana msingida.
Wanajamiiforum nipokeeni mwenzenu toka cngida...
Umetuletea mapama?
Ahasante.. Ntamtafuta... Plz embu nisaidie mautundu zaidi..
Karibu sana isekuu wane. Jf ndo mambo yote. Walete na wengine wa ikungi.
Karibu sana isekuu wane. Jf ndo mambo yote. Walete na wengine wa ikungi.
Tahadhari
karibu sana!
Subiri ukaguzi kutoka kwa Babu Aspirin.
Narudia tena tahadhali kidole na macho.
umekuja na usafiri gani?...basi au punda?
Ntakupaje hayo makitu, hata sijakujua kama tunaingia choo kimoja!
Au tunapishana ! Mi choo chetu hata tusipochuchumaa twende kazz!