Ukiona mtu anakutishia swali ulilouliza ujue hajui, tafuta Mtu mwingine akuelekeze.
Mungu hana chanzo, as you know it.
Ni sawa na umtengeneze roboti, alafu akuulizie chanzo chake, na ukamwambiwa kuwa ulimtengeneza via Ai mwaka 2022...alafu (roboti) akuulize tena chanzo cha Mwanadamu 😂😂😂
Hapo...
In short, Mungu ana fast forward less important details ili mwanadamu usije ukajifanya una akili nyingi.
We humans are always unpredictable, deviant, variants ,(according to loki)
Niwaambie tuu, maandiko ya kwenye biblia ukichukulia tuu kama kitabu cha kihistoria, utasoma utamaliza, na utajenga dhana unazozijua wewe.
Ila ukikisoma kama kitabu cha falsafa na busara, utagundua kimezidi falsafa zote ulimwenguni
Na ukikisoma kiimani, utagundua kuwa kimezidi imani zote...
yesu (issa) wa Quran na Yesu wa Biblia ni watu wawili tofauti.
Yesu wa Quran alioa na kuwa na watoto wawili ila Yesu wa Biblia hajaoa, hajazaa wala hajatenda dhambi, maana Dhambi imeanguka mbele yake,
1 Yoh 3:5 SUV
[5] Nanyi mnajua ya kuwa yeye alidhihirishwa, ili aziondoe dhambi; na dhambi...
Hivi vitu taabu yake watu hatupendi kuvichimba mpaka ndani. Mfano saayansi, ukiichimba mpaka ndani kabisaaa, itakupeleka kwenye njia mbili.
1. Ukubali kuwa Mungu yupo
2. Uamini kuwa hakuna Mungu
Na hata ukikazana kwenye namba mbili, hautokaa upate majibu milele, zaidi ya kujidanganya.
Na...
Jibu jepesi ni hapana...kwa ushahidi uliosema hapo ni wazi kabisa kuwa si kila nafsi itaonja umauti.
Zipo nafsi ambazo hazikuonja umauti na ni fresh tuu.
Na nadhani umemaanisha umauti wa mwili, right?
Soul ties is real. Kuna procedures za kutoa hizo mambo..maana ni spirits zinakuwa zinashikamana na wewe. Kama ambavyo mtu anashika mimba na kuzaa...unapotenda dhambi unazalisha roho, zinaota na kukuaa...na kukua..na kukua.
Kwenye ngono ndio kunazaliwa majini mahaba (hasa wale wanaozini na watu...
Na hii hesabu ndio inayotuletea mvurugano huku kwetu kwenye dunia ya sasa.
Ndio maana wanasema kuwa siku ya kwanza ya juma (Jumapili) Yesu alifufuka katika wafu...na hii ndio sababu ya wakristo wote ulimwenguni kusali siku ya kwanza ya juma ambayo ni Jumapili
Hili nalifahamu vizuri. Na naamini kuwa Misri ni fumbo..lakini pia ni matukio halisi yaliyotokea.
Hapannamaanisha kuwa kila vitendo vilivyotokea na kuandikwa katika biblia ni ishara. Za kweli zenye maana kimwili na kiroho pia.
Kimfano ishara zote alizooneshabMusa za kuifany fimbo kubadilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.