msafiri.razaro
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,241
- 735
EP PRO unachosema ni kweli. Kama yogi nina experience ya ulimwengu wa Roho. Kwenye ulimwengu wa kiroho hakunaga past or future, it is only the moment. Kwa wale wanao practise Yoga na Kufanya Meditation wanajua ugumu wa kufanya concentration ya kuwa kwenye moment yaani kuweka fikra na nguvu zote kwenye kitu unachokifanya pale ulipo. Unaweza kuwa unafanya kitu fulani pahala fulani lakini fikra na nguvu zako zinakuwa zimetawanyika sehemu mbalimbali kabisa, ama fikra zinakuwa kwenye muda uliopita (kukumbuka mambo yaliopita na kuyaishi) au kuwa kwenye muda ujao (kwenye mipango inayoitarajia na kuyaotea) au hata mbali na ulipo (kufikiria nini kinafanyika huko na ungelipenda uwepo) ni ngumu sana kuweka fikra ulipo na kwa kile unachofanya kwa wakati huo. To be in moment.Habari zenu wanajamvi,
kama title ya topic ilivyo kuwa SEX IS A GATE WAY TO YOUR SOUL, kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa) / zinaa ( kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine.
Watu wawili wakiwa wanashiriki sex huwa si tena wawili wanakuwa ungana na kuwa mwili mmoja kabisa, hii itawaunganisha kimwili,kiakili/kihisia na kiroho,hili jambo lina siri nzito sana, kwa wale wasoma biblia ukipita
WAEFESO5 ;31-32 inasema [SUP]31 [/SUP] Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja. [SUP]32 [/SUP] Siri hii takatifu ni kubwa. Sasa ninasema kwa habari ya Kristo na kutaniko .
ukiwa na mtu amabaye mnakuwa actively mnashiriki nae sex jua fika mtashare mambo mengi katika ulimengu wa hisia na kiroho pia hata kama mtakuwa hampo karibu kwa wakati huo. Hii ni kwa sababu SEX ni ibada kamili kabisa, sex ni mkataba ambao miongoni mwa makubaliano ya huo mkataba ni kuwa connected. Hii ndio maana inakuwia ngumu kumsahau na kumtoa akilini mtu ambaye mlikuwa nae active kwenye sex hata kama ilikuwa zamani na mna muda hamjaonana, bado ataendelea kuwa kwenye mind yako.
Nguvu yeyote ya kihisia na kiroho ikiweza kumpata mmoja wenu kutokana na sababu mbalimbali hiwe kutakuwa na maamuz sahihi, kusababbishwa na mwigine inapata upenyo na mwanya wa kuweza kumpata mwenza wake maana ameacha njia ya upenyo na wao wanamkataba wa kuwa mwili mmoja. So kuna wakati badala ya kuhangaika na matatizo yanayo kufika hiwe ni mawazo yasiyoisha, mikosi n.k anza kuhangaika kuondoa ties ulizo funga na wenza wako ni lazima kutakuwa kuna hole imetengenezwa na mmoja kati ya hao uliowahi shiriki nao, bila kuondoa hizo ties utakuwa kila siku unasolve na kutafuta njia za kuwa katika hali but vitu havikomi maana still vinapata njia ya kuja kwako, vunja tie hizo kwanza.
SEX haifanyiw nje ya mwili hufanywa ndani ya mwili, katika kuthibitisha hili ukisoma 1WAKORINTO6;18 inaonyesha kuwa sex hufanywa ndani ya mwili so ina direct impact katika roho yako.
Kumbuka roho na mwili haviwezi tengana hadi kifo kikufike, so connection ambayo umeziweka na uliesex nao huweza kuondoka pale mmoja wenu atakapo fariki, otherwise vunja ties na connection zenu
Kuna watu hujikuta wanatramani kusex au kuwangalia na wanaume wenzao, hata inafikia kiwango mtu kuota ana msodoma mwanaume mwenzie, ukiangalia wew si GAY bt ukicheza utajikuta unafanya kweli , QN,HOW? Kuna reason nyingi zinapeleka watu kutaman mapenzi ya jinsi moja ikiwemo roho za ajabu, sasa kama kuna vibinti ambacho umewahi kushiriki nae amaenza kufanya au kutaman hayo mambo ile roho inayompelekea kufanya hayo inapata na inatafuta upenyo kwako piaa maana kupitia huyo kuna njiaa ya kuja kwako.
NI HAYO NILIYOTAKA KUSHARE NANYI KWA SIKU YA LEO, NAKARIBISHA MICHANGO NA HATA KUREKEBISHWA
Kuna njia mbili za asili zinazokulazimisha uwe kwenye moment nazo ni Sex and Death tuu, yaani kujamiiana na wakati wa kukata Roho basi. Sex sio guarantee, zingine zina uselfishness ndani yake, ila mara nyingi unakaribia hiyo experience na hasa ikifanywa na wapendanao. Kwenye tendo hili ni tendo pekee kiumbe kitendacho kinatenda bila ubinafsi, bila kinyaa, bila uchoyo, bila uroho, wala hakijali utajiri au umasikini wake au muhusika mngine na hasa pale unakaribia na kufika kileleni. Pale unaziacha dhambi zote za asili na kuwa mmoja na Mungu ( uliambiwa ukimtendea wema binadamu mwenzako unamtendea mungu). Katika Sex ndio tendo linafananishwa na mkutano wa UTATU mtakatifu, kwani lina uwezo wa kuumba. Yaani Baba, Mama na Roho mtakatifu (Roho isiyo mwilini) wanaungana kuwa kitu kimoja na na kusababisha kiumbe kingine katika ulimwengu.
Kwa wabobezi wa a Spirituality wanaelewa how it is very important to attain a moment state of being, because thats were the God and Truth can be found and realized afterwards.
Apart from natural ways thst makes possible to attain moment state of conciousness yaani Sex and Death, iko njia nyingine hufundishwa kwa siri kupitia tamaduni mbalimbali za kizamani.
- Kama awekening (kuamusha chakra kupewa uwezo kutumia jicho la tatu),
- Spiritual initiotion (Ubatizo katika Roho)
- kwa kutumia mafunzo kama Kung fu na karate,
- Yoga mbali mbali.
- Kutumia majani na mizizi ya uoto mbalimbali kama Rastafarian wakitumia Ganja.
- Vileo kwa wale wanaitwa drunked Masters
Hi ni namna ya kukufanya uondoke kwenye hali ya kawaida na kuwa kwenye moment or to get to higher conciousness. Kufananisha tuu hii experience kwa mtu wa kawaida sio rahisi ila labda kwa wale wateja wa madawa ya kulevya wanaweza elewa. Ni kuwa kwenye state ya kuwa higher but controlled and managed with purpose of being.
Kuna aina moja ya Yoga inaitwa Kundaline wao hutumia kujichua au kupiga punyeto ilijipeleka kwenye state ya moment na ku-attain higher spirit conciousness.
In the moment there is silence, and there is Love and Truth, that is where the Beginning meet with the End and there is where God exist everywhere and anytime.
Ni wakati mwili wala akiri haikutumikishi bali unakuwa shuhuda wa yote yatendwayo na uhuru ulionao.