Recent content by Malaria 2

  1. M

    Utatu wa Magufuli, Juma Nkamia na Tundu Lissu unamfanya Lissu aonekane ni Mwanamme Jasiri!

    Siku Lissu akiondoka katika dunia Tanzania itazizima hata CCM watasikitika japo kimya kimya. Jamaa namkubali sana na hazina ya Taifa. Sio mnafiki kabisa. Kazungumzia swala la Palestina na Isreal hata masheikh wanaogopa kusema wakati wao ndio wanatakiwa wazungumze. Lissu angalikuwa muislam...
  2. M

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Dah., niijua wataiahamisha, ndani ya sec
  3. M

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mijadala mingi huko nyuma imeibuka kuhusu mtazaomo wa wasio waislam kwa waislam Baadhi yao wakiamini wanawake wa kiislam wanakaa majumbani na wanaume wa kiislam hawawapi fursa pia waislam hawakusoma Yote hayo hivi sasa yamezibwa mdomo. Rais mwanamke tena muislam Nakutakieni J2 njema. Mod...
  4. M

    Hamas yakubali pendekezo la kusitisha mapigano, wananchi wa Rifah washangilia

    lETANYAHU KACHANGANYIKIWA. KWAKE HAKUKALIKI. HAMAS WANAWAUA TU
  5. M

    Hamas yakubali pendekezo la kusitisha mapigano, wananchi wa Rifah washangilia

    MAREKANI ANASEMAJE? ATAYATOA MAJESHI YAKE KUMSAIDIA?
  6. M

    Hamas yakubali pendekezo la kusitisha mapigano, wananchi wa Rifah washangilia

    nilisema mwanzo wa vita, muislam hashindwi katika hivi vita, akifa au akiua yey kwake ni baraka kubwa kwa sababu anapigania ardhi yake. Wakiristo wa Jf wakawa wanakejeli. Leo hii Palstina anaetumia manati na jiwe kupambana na Isreakl aliepewa silaha zote za dunia anatikishwa? Anaua watoto...
  7. M

    "University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them

    "University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them for their safety. How beautiful Scene!"
  8. M

    Zanzibar waheshimiwe

    Tanganyika ipi?
  9. M

    Tundu Lissu tofautisha Samia na Rais Samia, muungano ni roho yetu

    Na kitabu chake cha ujasusi. Ujasusi yeye mwenyewe haijui.
  10. M

    Tundu Lissu tofautisha Samia na Rais Samia, muungano ni roho yetu

    Kumjibu Lissu kunahitaji akili Kubwa. Watu ambao wanaweza kumjibu Lissu kwa Tanzania ni 3 kisheria kwa mtazamo wangu. 1) Prof Shivji 2) Othman Masoud 3) Mwanasheria Awadh hao wakisimama na Lissu lazima katika mjadala nchi itasimama. Tuliobaki tunasema tu
  11. M

    Zanzibar waheshimiwe

    Tv ya Mwanzo Tanganyika 1988 wakati wa Mwinyi. Zanziar 1970
  12. M

    Zanzibar waheshimiwe

    1. Ndio waliotaka mfumo wa vyama vingi 2. Ndio waliofanya Tanzania bara izinduke kiupinzani wa siasa za upinzani 3. Ndio waanzilishi wa hizi Tv 4. Waanzilishi wa biashara 5. Hawanuniliki wapinzani wa siasa tofauti na upande wa pili
Back
Top Bottom