Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 4,771
- 4,412
Nani kakuambia wewe bwege, Hamas kama si hao vibaraka wa US asinge simamisha vita, Qatar na Egypt ndio wamembembeleza Hamas ili America na Israel kuondoa aibu walio ipata duniani.Watulie sasa, sio wamekubali kuacha vita kwasababu wameishiwa silaha na siku wamezipata tuanze kusikia wameanza vita tena
Hamasi mpaa kesho anadunda hakuna Israel alicho fanya zaidi ya kuvunja majumba na kuwauwa watoto na wanawake tu.
Viongozi wa Qatar na Egypt ni washenzi sana wamemsaidia US na Israel ili Hamasi akubali kusimamisha vita.
Sa wacha America na hao warabu waijenge Gaza.
Lakini ukweli mimi nimeamini Israel bila viogozi wa nchi za kiarabu na US na Europe hana lolote