johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,868
- 145,930
Shujaa Magufuli alikuwa Rais wa JMT
Juma Nkamia alikuwa Mbunge na Naibu waziri
Tundu Lissu alikuwa Mbunge
Juma Nkamia aliogopa kutumbuliwa akatoa Sifa za uwongo Ili Katiba ibadilishwe na Rais akae madarakani kwa miaka 7
Tundu Lissu aliweza kumueleza Ukweli aliouamini Rais Shujaa Magufuli bila kuogopa
Kwa sasa Nkamia na Tundu Lisu wote siyo wabunge tunaishi nao mitaani Kondoa na Marekani
Nawatakieni Dominica Njema 😃