Wakati wanafanya hayo,dunia nzima ilikuwa imelala.Sivyo?1. Ndio waliotaka mfumo wa vyama vingi
2. Ndio waliofanya Tanzania bara izinduke kiupinzani wa siasa za upinzani
3. Ndio waanzilishi wa hizi Tv
4. Waanzilishi wa biashara
5. Hawanuniliki wapinzani wa siasa tofauti na upande wa pili
Tv ya Mwanzo Tanganyika 1988 wakati wa Mwinyi. Zanziar 1970Wakati wanafanya hayo,dunia nzima ilikuwa imelala.Sivyo?
Tanganyika ipi?Kila mtu aheshimiwe! Si wazanzibari tu bali kila mtu.
Muungano una matatizo na ni vizuri yakatatuliwa kuliko kuyaacha matatizo yatakuwa makubwa zaidi.
Mimi ni mtanganyika. Nitapigania kwenye haki na nitaipigania Tanganyika.
Ndugu yangu, kwani kipi kilichokusukuma mpaka ukafikia kuanzisha uzi wenye maudhui ya Zanzibar iheshimiwe?Tanganyika ipi?
Ina maana watanganyika hawakuwa wakifanya biashara kabla haijaanzishwa na wazanzibar?4. Waanzilishi wa biashara
Halafu ikawasaidia nini?Tv ya Mwanzo Tanganyika 1988 wakati wa Mwinyi. Zanziar 1970