Zanzibar waheshimiwe

1. Ndio waliotaka mfumo wa vyama vingi
2. Ndio waliofanya Tanzania bara izinduke kiupinzani wa siasa za upinzani
3. Ndio waanzilishi wa hizi Tv
4. Waanzilishi wa biashara
5. Hawanuniliki wapinzani wa siasa tofauti na upande wa pili
Wakati wanafanya hayo,dunia nzima ilikuwa imelala.Sivyo?
 
Kila mtu aheshimiwe! Si wazanzibari tu bali kila mtu.

Muungano una matatizo na ni vizuri yakatatuliwa kuliko kuyaacha matatizo yatakuwa makubwa zaidi.

Mimi ni mtanganyika. Nitapigania kwenye haki na nitaipigania Tanganyika.

Leo nitajiongelea kiubinafsi kwa kauli ya umimi. Mimi sina chama wala si mtu wa vyama. Mimi nipo pamoja na Lissu.

Lissu kwenye mambo ya muungano alianza kuizungumzia Zanjibar na kwa sasa anazungumzia kadhia za Tanganyika.

Hapa mchawi ni mmoja tu! Ni CCM. CCM ndiyo ambayo inapandikiza chuki. CCM ndiyo ambayo itakayovunja umoja wetu. Kwa sababu inayo nguvu na mamlaka ya kurekebisha haya ambayo kimsingi ndiyo chanzo cha wewe kuleta huu uzi.

Hivyo hapa wa kumshurutwisha ni CCM. Hii hali ikibaki hivi si nzuri.
 
Kila mtu aheshimiwe! Si wazanzibari tu bali kila mtu.

Muungano una matatizo na ni vizuri yakatatuliwa kuliko kuyaacha matatizo yatakuwa makubwa zaidi.

Mimi ni mtanganyika. Nitapigania kwenye haki na nitaipigania Tanganyika.
Tanganyika ipi?
 
We kweli nyani yaani jitu jeusi kama wewe ndio ambayo inasababisha mweusi aitwe nyani yaani hizi ni akili za nyani kabisa kumbe wazungu wako sawa kuliita jitu jeusi kama hili nyani
 
Zanzibar ni kupe kama kupe wengine wazanzibari wanakuwa mpaka wakuu wa wilaya huku Tanganyika wakati mtanganyika hawezi kuwa kiongozi Zanzibar
Mzanzibari anahamisha Wamasai ngorongoro na loliondo na kuna siku atahamisha warombo hapo Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom