Recent content by len

  1. L

    DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Hivi dunia hii kweli bado kuna watu wanaamini kuwa unaweza ukatumiwa zawadi na mtu mliyejuana naye mitandaoni tu?
  2. L

    3yrs married in the Bible

    Hizo data umezipata wapi? Hebu lete huo ushahidi hapa, usije ukawa unaandika kutoka kichwani kwako tu!
  3. L

    Fatma Karume amshauri Bashe kutotatua shida ya Sukari kipindi cha mfungo Ramadhani

    Sukari ipatikane wakati wote tu. Sisi wengine hatujui kwaresma wala ramadhan
  4. L

    Domain Name, website

    OK, nitakucheck inbox
  5. L

    Web Hosting Cheap 12$/ 1 Year

    Website mnatengeneza au nyinyi mnafanya hosting tu?
  6. L

    Domain Name, website

    website unatengeneza kwa bei gani?
  7. L

    Tunabadilisha vioo vya tv

    LG 43inch kioo bei gani?
  8. L

    Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Dini ni mawazo ya wanadamu ya namna ya kumtafuta Mungu. Yesu hakuja kuhubiri mawazo ya wanadamu bali alihubiri wokovu na msamaha wa dhambi. Yesu hakuja kuanzisha dini bali alileta msamaha wa dhambi duniani. Hicho ndicho mimi ninachohubiri, wokovu na msamaha wa dhambi tulioletewa ba Bwana Yesu...
  9. L

    Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Narudia tena, Yesu Kristo pekee ndiye mpatanishi kati mwanadamu na Mungu, tena ndiye anayetuombea kwa Baba. Acheni utapeli wa kuwafanya watu watoe sadaka ya ukombozi, huo ni wizi.
  10. L

    Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Kwa hiyo mtu akipingana na hiyo imani yako potofu ndiyo anakuwa mzinzi?
  11. L

    Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Pole sana, umenisikia nikifundisha watu kufanya uchafu?
  12. L

    Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Pole sana, kwa hiyo wewe unazini kwa sababu una mtumishi wa kukuombea na unatoa sadaka ya ukombozi! Mimi nimeokoka, huo ujinga uko mbali nami. Ninawafundisha watu njia ya kweli, ambayo ni Yesu Kristo. Acha kuwadanganya watu, eti watoe sadaka ya ukombozi wakati Yesu alishatoa uhai wake kwa ajili yao.
  13. L

    Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Siamini kabisa katika hilo. Ninachokiamini ni kwamba, mpatanishi kati ya mwanadamu na Mungu ni Yesu tu. Leo hatuhitaji mpatanishi mwingine zaidi ya Yesu.
  14. L

    Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Yesu hajawahi kuhubiri ushoga. Ndiyo maana nawaambia achaneni na dini, njooni kwa Yesu. Yeye ni nuru wala kwake hakuna giza la namna yeyote ile.
  15. L

    Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Hebu niambie hapa, kazi ya hiyo sadaka ya ukombozi ni nini?
Back
Top Bottom